Christopher Wallace JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 1,479 Reaction score 3,788 Sep 22, 2022 Thread starter #201 Morrison yuko wapi?
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Jun 22, 2023 #202 Mnyuke Jr said: Hakuna winga anaefikia ubora wa Morrison hapa Bongo Hakuna adui wa kudumu kwenye Maisha ya mpira Click to expand... Sa mnakubalije kumuacha licha ya kujua kuwa hakuna kama yeye?
Mnyuke Jr said: Hakuna winga anaefikia ubora wa Morrison hapa Bongo Hakuna adui wa kudumu kwenye Maisha ya mpira Click to expand... Sa mnakubalije kumuacha licha ya kujua kuwa hakuna kama yeye?
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Jun 23, 2023 #203 The Masterpiece said: Mpira ni ajira, ni urafiki na sio uadui. Mpira ni kama siasa tu usichukulie serious sana mienendo ya wahusika. Morrison akirudi Yanga lazima awafunge makolo fc. Click to expand... Ktk kumbukumbu zako zinasoma bado goli??? Huyo alikuja kuwarudisha nyuma...
The Masterpiece said: Mpira ni ajira, ni urafiki na sio uadui. Mpira ni kama siasa tu usichukulie serious sana mienendo ya wahusika. Morrison akirudi Yanga lazima awafunge makolo fc. Click to expand... Ktk kumbukumbu zako zinasoma bado goli??? Huyo alikuja kuwarudisha nyuma...
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,472 Reaction score 6,391 Jun 23, 2023 #204 Scars said: Sa mnakubalije kumuacha licha ya kujua kuwa hakuna kama yeye? Click to expand... Mkataba wake umeisha na hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha
Scars said: Sa mnakubalije kumuacha licha ya kujua kuwa hakuna kama yeye? Click to expand... Mkataba wake umeisha na hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha