kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Simba imepiga mpira mkubwa sana pale algeria tena kwenye mazingira magumu ya mvua na baridi uwanja kuteleza.
Mwalimu amepanga kikosi vizuri kabisa kwa mipango simba ilicheza kwa kujiamini magoli iliyofungwa ni makosa ya kawaida kwenye mchezo wa mpira ila kwa mwenye kujua mpira.......
Ila tu mwalimu sijui kwanini hampi nafasi mzamiru yassin kiungo punda....tunao ijua simba miaka yote huo ndio mwenendo wake plan ni kushinda mechi zote za mkapa ugenini anapata sare anavuka bila ngendembwe tofauti na kule bwawani mtera wao wamegegeduliwa mechi mbili wameanza kuhesabu vidole.....Simba kufungwa ugenini wala sio matokeo mageni wala simba hawajahi kusema labda wacheze na malaika wana simba mpeni sapoti mwalimu wenu jana kuna muda kulipigwa pasi nyingi sana na yule charls ahoua kidogo aelezwe nafasi mbili alizitupa moja ilikua kushindilia fataki ya pili ateba yupo kwenye nafasi ya kufunga akashindwa kutoa pasi.....mengine mwalimu atafanya masahihisho ila simba timu ipo tofauti na waleeeee kro.....kroo....kroo wanao ita mvua mto kihansi....Simba nguvu moja,