kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #21
Mashindano gani?CAF ilitaka kuyafuta haya mashindano manake timu za vigango vya kanisa katoliki na timu za bendi za muziki ndio zimejaa uko na kuna timu zinamilikiwa na jumuiya ndogo ndogo za kikristu chini ya kanisa katolilki sijaona timu iliyochini ya kanisa la sabato haya mashindano ni aibu sana kufungwaa au kushinda kwa penati inayofungwa na mlevi Kuhoa