Simba sio ile timu ikishinda inaandaa supu au mabango, malengo ya hatua hii ni kufuzu makundi. Hii mechi tumepoteza kizembe sana kwa kukosa umakini pia Kuna makosa ya kujirudiarudia Kama Kibu kucheza Kama Yuko peke yake uwanjani, utoto wa Ahoua sub zisizo na Tija
Badala ya kutembea kifuabele kocha akae na wachezaji wake hasa Kibu, Barua awaeleze Kama hawawezi kufata maelekezo na kucheza Kama timu watakaa benchi mpaka watakapojitekebisha,, Ahoua Kama hawezi kubadilika Simba wamuuze mapema lakini uongozi umwambie Kama atufuzu apaki mizigo yake.
Kwa ukubwa wa Simba si sehemu ya kukuzia vipaji Bali ni sehemu ya kutwaa makombe.