Shabiki wa simba tembea kifua mbele atakayesema timu mbovu au mwalimu hafai hajui mpira na sio simba!

Mashindano gani?
 
Kwaani mmeshinda?? Mngeshinda si ingekuwa nongwa?? Hizo zote ni kujifariji tu baada ya kufungwa. Mpira mmezidiwa kila idara ila unaleta faraja utadhani hatujaangalia mpira dakika zote??
Simba kapiga mashuti golini ila yanga dk 90 hakuna hata shuti la bahati mbaya huoni tofauti kidogo hapo!
 
Uzi mrefu hizi kumbe unaelezea mashindano ya akina mama.
CAF walitaka wayafute
Ni mashindano ya ovyo sana
Iangalie team iliyokukanda ipo nafasi ya ngapi kwenye ligi yao
 

Attachments

  • Screenshot_20241209_091443_Chrome.jpg
    220.6 KB · Views: 4
CAFCL utafananisha na haya mashindano ya UMISETA
We hilo timu lako linalofungwa na team za dondoo ikija Kwa CAFCL si ndo litafungwa 16
Wewe huko CAF ndio kwanza una robo fainali moja tangu 98 na ya msimu huu ndio hiyo kwa 100% hutoboi, hii audacity inatoka wapi.?
 
Kila siku mnaonyesha yale mabati yenu wenyewe mnasema medali hata kwenye masoko ya siso yamekataliwa maana yanashika kutu si kombe hilo hilo au kuna jingine!
Mbumbumbu ni mbumbumbu tu yaani unafanyanisha mashindano makubwa na michezo ya rede au upatu
 
Yanga kafungwa magoli ya kuzidiwa mchezo dakika tisini hakuna shuti!
Simba kapiga shuti moja dakika zote tisini. Mbona mnajifariji kwa upumbavu? Unaongoza goli moja halafu unashindwa kupata hata sare. Ujinga mtupu
 
Simba kapiga shuti moja dakika zote tisini. Mbona mnajifariji kwa upumbavu? Unaongoza goli moja halafu unashindwa kupata hata sare. Ujinga mtupu
Hakuna timu isiyofunga ila angalia umefungwa kwa margin ipi je unajua faida ya goli la ugenini group stage au unaongea tu ngoja m tie point alafu ndio mtaelewa
 
Usiwe unafananisha michuano ya wanaume na michuano ya umiseta ama rede,,mnakosea sana kulinganisha ligi ya mabingwa na vikombe vya ushirikishwaji,,icho kikombe cha ushirikishwaji yanga kacheza fainali msimu juzi na alitolewa kwa kanuni Tena akishinda ugenini kwa mwarabu sasa kama unayo timu bora na wewe fika fainali tuone kama unayo jeuri,,
Unafananisha vitimu vya shirikisho na klabu bingwa? Acheni masikhara basi!
 
Wewe shinda game mbili kwa mkapa kama unayo timu simba misimu minne mfululizo kacheza robo fainali mashindano hayo mliotepeta!
 
Simba kapiga shuti moja dakika zote tisini. Mbona mnajifariji kwa upumbavu? Unaongoza goli moja halafu unashindwa kupata hata sare. Ujinga mtupu
Kama rahisi kuipata sare kwa nini msizue ya bila bila mpaka kipindi cha pili kinaanza ilikuwa hamjafungwa upuuzi mtupu unaondika!
 
Mbumbumbu ni mbumbumbu tu yaani unafanyanisha mashindano makubwa na michezo ya rede au upatu
Mashindano hayo ya rede ndio level yako hayo uliyopo huyawezi al hilal 2 yanga sifuri Mc algers 2 yanga sifuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…