Shabiki wa simba tembea kifua mbele atakayesema timu mbovu au mwalimu hafai hajui mpira na sio simba!

Kibu ni mbinafsi sana sana, hivi kocha au makocha huwa kwann hwakanyi wachezaji kuacha ubinafsi na mpira wa anao anao, na kutaka ufunge wewe hata sehemu ambayo ni ngumu, wajifunze kwa wenzao huwa wana mpira wa pasi sio waubinafsi, Simba dirisha dogo waachane na Kibu Denis, hana maajabu yoyote zaidi ya miguvu tu bila akili au kucheza kitimu
 
Fadlu anaweza Sana kama alimsimamisha Mabululu tena akiwa na siku chache Tu clabuni. Upande WA pili wanataka tugombane na Kocha safari hii wametukosa big time. WA deal na Side Mjerumani wao.
 
Simba kapiga mashuti golini ila yanga dk 90 hakuna hata shuti la bahati mbaya huoni tofauti kidogo hapo!
kupiga mashuti golini bila kufunga ni sawa na kwenda harusini halafu usile nyama, pia mashuti hayo waliyopga simba wameyapiga ktk mashindano gani? Ya viti maalumu tena vile viti vya akina halima mdee bungeni.
 
kupiga mashuti golini bila kufunga ni sawa na kwenda harusini halafu usile nyama, pia mashuti hayo waliyopga simba wameyapiga ktk mashindano gani? Ya viti maalumu tena vile viti vya akina halima mdee bungeni.
Soma jina lako halafu tafakari!
 
Fadlu anaweza Sana kama alimsimamisha Mabululu tena akiwa na siku chache Tu clabuni. Upande WA pili wanataka tugombane na Kocha safari hii wametukosa big time. WA deal na Side Mjerumani wao.
Una maono sana!
 
Na pia yanga alicheza fainali ya mashindano ayo mnayotepeta dhidi ya vitimu vibovu na alivaa medali ya mshindi wa pili,,kama mnajiweza fikeni fainali tuone!
Simba kafika fainal kitambo kabla hujazaliwa kazifunga hizo timu za waarabu nje ndani!
 
Simba kafika fainal kitambo kabla hujazaliwa kazifunga hizo timu za waarabu nje ndani!
Usituletee habari za historia ya miaka 30 iliyopita hapa,,tunaongelea misimu 6 iliyopita umefanya nini na mwenzako kafanya nini!
 
Ndiyo mnageuzwa geuzwa kama chapati watu wanajipigia matobo. Nawahakikishia mnaondoka patupu bila hata point.
Utopolo hatopata hata pointi 6. Ni mwendo wa kupinduliwa tu. Mechi ya Lubumbashi watasingizia uchovu wa safari.
 
Mleta mada uko sahihi kabisa.

Simba inacheza mpira wa kuvutia sana sasa hivi. Nilisema hivyo mechi ya Bravos (dakika 25 za mwanzo ule mpira wa kasi sijawahi kuiona Simba inacheza kwa muda mrefu), na hii mechi ya juzi na Constantine ule utulivu na zile pasi ni Simba tunayoitaka.

Yanahitajika maboresho kidogo muhimu pale safu nzima ya ushambuliaji, kuanzia kuboresha ushirikiano wa wachezaji na quality yao baaasii.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
 
Wawili tu pale jangwani
 
Niko hapa natembea kifua mbele kama nimepigwa ngumi ya mgongo.
 
Mbumbumbu nyie kubalini mnacheza mashindano ya akina mama aka rede

Sisi tupo CAFCL ligi ya wakubwa
Hayo ya kina Baba nyie imeenda kama punga ni kugawa Tu Kwa Wanaume wengine. Jumamosi mnamgawia MazembeπŸ˜†πŸ˜†
 
Simba kapiga shuti moja dakika zote tisini. Mbona mnajifariji kwa upumbavu? Unaongoza goli moja halafu unashindwa kupata hata sare. Ujinga mtupu
Hilo moja kama ni rahisi kaangalie takwimu za utopolo na MC ALGERS kama utopolo walipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…