TANZIA Shabiki wa Yanga afariki dunia kwa mshituko baada ya “kipigo” kutoka kwa Simba

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Shabiki wa Yanga aitwae Jane mkazi wa Bwilingu wilayani Chalinze amefariki dunia wakati akitazama mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga.

Inadaiwa marehemu alifikwa na umauti wakati mpira ukiwa umebakiza dakika 10 kumalizika akawa analalamika mbona hawasawazishi ilihali muda unayoyoma.

Basi akapatwa na presha, akaanguka ghafla na hatimaye akapoteza maisha.

Jane.jpg

Source:
East Africa Radio
 
Rip mwananchi

Tutakulipia kifo chako
 
Shabiki wa Yanga aitwae Jane mkazi wa ⁰Bwilingu wilayani Chalinze amefariki dunia wakati akitazama mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga.

Inadaiwa marehemu alifikwa na umauti wakati mpira ukiwa umebakiza dakika 10 kumalizika akawa analalamika mbona hawasawazishi ilihali muda unayoyoma.

Basi akapatwa na presha, akaanguka ghafla na hatimaye akapoteza maisha.

Source:
East Africa Radio
Nilijua mechi ya Simba na yanga always lazima husababisha vifo......R.I.P
 
Back
Top Bottom