TANZIA Shabiki wa Yanga afariki dunia kwa mshituko baada ya “kipigo” kutoka kwa Simba

TANZIA Shabiki wa Yanga afariki dunia kwa mshituko baada ya “kipigo” kutoka kwa Simba

RIP mwananchi
Moderator ID yangu ya zamani ingebaki archives tu badala ya hivi. Kuepusha kuchanganya watu au kutumia vibaya
Maxence Melo tafadhali sana mkuu
@YingYang
Na wewe jamaa sasa utumie tu common sense, unatumiaje ID ya mtu mwingine? Kama ni mapenzi na Simba mbona mastaa wapo kibao tu
 
Shabiki wa Yanga,Jane kutoka mkoa wa Pwani eneo la Chalinze, kata Bwilingu amefarika Jana baada ya kuona timu yake ikiadhibiwa na Simba SC katika mechi iliyochezwa Jana!! .

Mashuhunda wanasema rafiki yao alipata mstuko wakati mchezo huo ukiendelea baada ya goli la pili!!, wanasema " alianguka gafla hivyo wakiwa wanatafuta usafiki wa kupeleka kituo Cha afya!! Alizinduka na kulalama maumivu ya kichwa".

Baada ya hapo usafiki ulipatika na kupelekwa huko alifariki usiku wa kuamkia Leo!!

My take:
Watu wapewe Elimu ya kutosha,kama huwezi vumilia usiangalie amchezo kama huu wa Kariakoo Derby.

Ni afadhali kwenda mbali kufanya shughuli nyingine kabisa na mtu asisikilize huu mchezo asubiri matokeo baada ya m chezo kumalizika!!

Picha chini ni ndugu na jamaa na majirani wakiomboleza.

FB_IMG_1681743935042.jpg
 
Back
Top Bottom