This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Lazima maisha mengine yaendelee, mpira unabaki kuwa burudani na utani.Tulipigwa 7-0 na Liver na Bado tunadunda
Tusifanye ndiyo maisha , Kuna maisha baada ya zile dakika 90.
Ni udhaifu mkubwa sana kuanzia kwenye uwezo wa akili na mind set zetu.