Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
NakaziaRIP mwana Uto yale magoli yalikuwa machungu sana
tuliumia wengiTutalipa geme ijayo.
Rip mwananchiShabiki wa Yanga aitwae Jane mkazi wa Bwilingu wilayani Chalinze amefariki dunia wakati akitazama mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga.
Inadaiwa marehemu alifikwa na umauti wakati mpira ukiwa umebakiza dakika 10 kumalizika akawa analalamika mbona hawasawazishi ilihali muda unayoyoma.
Basi akapatwa na presha, akaanguka ghafla na hatimaye akapoteza maisha.
Source:
East Africa Radio
Tulipigwa 7-0 na Liver na Bado tunadundaToo much.
Ushabiki gani huu.
Na kila makutano ya Simba Yanga lazima vifo vitokee. Ni guarantee.
Geme ijayo mtalipaTutalipa geme ijayo.
Wanajiendekeza tu.Mpira una pressure sana. Hata kwa washabiki wazoefu.
Kama unajihisi una pressure unapoangalia mpira bora usiangalie,usubiri matokeo.
RIP kwake
Nilijua mechi ya Simba na yanga always lazima husababisha vifo......R.I.PShabiki wa Yanga aitwae Jane mkazi wa ⁰Bwilingu wilayani Chalinze amefariki dunia wakati akitazama mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga.
Inadaiwa marehemu alifikwa na umauti wakati mpira ukiwa umebakiza dakika 10 kumalizika akawa analalamika mbona hawasawazishi ilihali muda unayoyoma.
Basi akapatwa na presha, akaanguka ghafla na hatimaye akapoteza maisha.
Source:
East Africa Radio
Uhai wake nao mtalipa!!??Tutalipa geme ijayo.
Mambo ya Hisia hayana kujiendekeza. Watu wa saikolojia watakushangaa ukisema kwamba watu wanaokufa kwa mistuko ya kihisia wanajiendekeza.Wanajiendekeza tu.
Nakazia hapo hapo, hivi gemu ijayo ni lini ?Tutalipa geme ijayo.