Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Mambo ya mpira ni kujiendekeza. Period.Mambo ya Hisia hayana kujiendekeza. Watu wa saikolojia watakushangaa ukisema kwamba watu wanaokufa kwa mistuko ya kihisia wanajiendekeza.
Jidanganyeni ,gemu ijayo mkija kichwa kichwa mnapigwa khamsa.Nakazia hapo hapo, hivi gemu ijayo ni lini ?
Gemu ijayo ni lini mkuu ?Jidanganyeni ,gemu ijayo mkija kichwa kichwa mnapigwa khamsa.
Sijui. Ila mkuu unaamini mechi ijayo hamtakuwa underdog?Gemu ijayo ni lini mkuu ?
Moderator ID yangu ya zamani ingebaki archives tu badala ya hivi. Kuepusha kuchanganya watu au kutumia vibayaRIP mwananchi
Watu mna dhambi sana.😂😂😂Lile shuti la Kibu D kumtoa roho mtu sishangai. Uliona mbinuko wa Diarra?Angeufuata sijui wangesafirisha au wangezika hapa?
Usiwastue wacha waendelee na mdomo tuwanyooshe tena.Jidanganyeni ,gemu ijayo mkija kichwa kichwa mnapigwa khamsa.
Anataka na yeye awe humuModerator ID yangu ya zamani ingebaki archives tu badala ya hivi. Kuepusha kuchanganya watu au kutumia vibaya
Maxence Melo tafadhali sana mkuu
@YingYang
Na wewe jamaa sasa utumie tu common sense, unatumiaje ID ya mtu mwingine? Kama ni mapenzi na Simba mbona mastaa wapo kibao tu
We jamaa umepinda dadeq Chama Baleke umeona hii mtu,RIP mwananchi
Huyo ni Mimi siangalii naweka foni masikioni nasikiliza vitu tofautiKuna ndugu yangu huyo siku ya dabi huwa anakuwa anazurura tu mitaani kama chizi akisikia kelele za kushangilia ndo anapita anauliza watu au anaweza kurudi nyumban kuchungulia kidogo na kuondoka
Nakandamiza ulipokaziaNakazia
RIP mwana Uto yale magoli yalikuwa machungu sana