TANZIA Shabiki wa Yanga afariki dunia kwa mshituko baada ya “kipigo” kutoka kwa Simba

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii ya mod kutumika I'd ya member kucomment imekaaje kitaalam wakuu?
 
Kuna mchungaji mmoja yeye alisema mapema yuko upande wa washindi simba, na ikatokea simba kushinda. Inabidi mashabiki wawe wanapewa ushauri nasaha mapema kabla ya kuanza mchezo ili timu zao zikifungwa kusitokee madhara
 
Dah kifo kina milango mingi sana, imagine huyo dada utopolo imemuua.

Waliaminishwa mapema kuwa wanaenda kujipigia Simba, matokeo yake wachezaji wa simba wakaamua kuwasamehe kwa 2:0.
 
Dah kifo kina milango mingi sana, imagine huyo dada utopolo imemuua.

Waliaminishwa mapema kuwa wanaenda kujipigia Simba, matokeo yake wachezaji wa simba wakaamua kuwasamehe kwa 2:0.
Kama wanawake kweny upenz ndo hawawezi kqbisa...Kuna mmoja nlikaa nae alianza kutukana kuanzia dk ya 1 mpk zile 5 za nyongeza...anatukana wachezaji wa Yanga,refaree+ kocha wao
 
Na wasipokuwa makini kama Yanga SC itamfunga Singida Big Star FC katika Nusu Fainali ya ASFC na Simba SC nayo ikamfunga Azam FC katika Nusu Fainali hiyo hiyo ya ASFC na wakakutana Tanga katika Fainali upo Uwezekano mkubwa wa Mashabiki wengi wa Yanga SC Kuaga Dunia ( Kufa ) kwani Yanga itaenda Kufungwa idadi ya Magoli mengi kuliko hata yale Mawili waliyofungwa Juzi kwa Mkapa Dar es Salaam katika NBC Premier League.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…