TANZIA Shabiki wa Yanga afariki dunia kwa mshituko baada ya “kipigo” kutoka kwa Simba

Tulipigwa 7-0 na Liver na Bado tunadunda
Lazima maisha mengine yaendelee, mpira unabaki kuwa burudani na utani.

Tusifanye ndiyo maisha , Kuna maisha baada ya zile dakika 90.

Ni udhaifu mkubwa sana kuanzia kwenye uwezo wa akili na mind set zetu.
 
Nakazia hapo hapo, hivi gemu ijayo ni lini ?
Juzi mliponyoka zilikuwa 4,Naomba FA tukutane tutawatandika 4 na hamtaamini.

Yanga hakuna beki ya kuizuia fowadi ya Simba.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…