Shadrack Chaula, aliyechoma picha ya Rais Samia aachiwa kutoka Gerezani
Kesi ya mihemuko.Kesi ya kulinda kiti.Kesi ya mchongo.Kesi ya kujipendekeza kwa mteuzi.
 
View attachment 3036835

Nikiwa ni Miongoni mwa Wadau walioendesha kampeni ya kuhamasisha michango (JF WING) ya kumsaidia Shujaa Shadrak kulipa faini ya Mahakama, kutokana na hukumu ya Mahakama kwa kosa la kuipiga kiberiti karatasi iliyodaiwa kuwa ni picha ya Rais wa Tanzania Nawashukuru wote mliotoa michango ya Hali na Mali ili kumuokoa kijana huyu kwenye Jela ya Uonevu .

Pamoja na kuchoma picha hiyo, Shadrak alituhumiwa kulalamikia Ugumu mkali wa Maisha Nchini Tanzania, jambo ambalo Viongozi walioshiba waliona ni Uchochezi.

Kwa niaba ya Waratibu wote wa Michango kote mitandaoni nasema asanteni wote mliomrudishia tena Uhuru wake kijana huyu, hii ni kwa sababu mmetenda kama vile alivyoagiza Mungu, na kwa sababu hii Mungu atawarudishia mara 100 zaidi.

View attachment 3036837

Tukio hili ni Funzo la Faraja kwa wote wanaoonewa kutokana na "udogo" wao kwenye jamii na ni fundisho kwa viongozi wanoko, kwamba, si kila matakwa yao yaweza kutimia, kuna mengine yatakataliwa na Mungu na visasi vyake vitawarudia wenyewe haraka iwezekanavyo.

Sasa ni dhahiri kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KWENYE DUNIA HII AMBAKO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU
Chadema mna moyo wa utu kweli.

Chadema ni mpango wa Mungu.

Watanzania tuamke , ukimchangia au kumsaidia mtu aliyeonewa ; Mungu anakubariki zaidi kuliko hata anaye toa sadaka kwa mwamposa . Pia tukatae udhalimu.
 
Kwahiyo binti muongo hakufirwa kwenye gari?
RC Nawanda kategewa na wabaya wake na kajaa ndani ya 18. Hakuna mwanamke aliyefirwa atajitangaza kuwa kafirwa. Ni kitendo cha aibu.

Huyu walimseti tu wabaya wake
 
RC Nawanda kategewa na wabaya wake na kajaa ndani ya 18. Hakuna mwanamke aliyefirwa atajitangaza kuwa kafirwa. Ni kitendo cha aibu.

Huyu walimseti tu wabaya wake
Niliwaambieni RC Nawanda hana kesi yeyote.
 
Back
Top Bottom