Shaffih Dauda mnafki sana

Shaffih Dauda mnafki sana

Ligi ikiwa hivi basi tufanye tu mwenye pesa nyingi afanye umafia achukue ubingwa wa ndani na nje.
 
Nakuuliza tena una uhakika au ndiyo yaleyale fuata upepo?

Halafu nani aliyekudanganya kuwa ukipata one au two ndiyo una akili?? Mfano wewe hapo umepata daraja la kwanza unahisi una akili?? Halafu elimu yenyewe ya Tanzania!
shafii is not smart. this is known
 
AjaAnza leo ndio maanA TFF WALIMTOA BALU
 
Nakuuliza tena una uhakika au ndiyo yaleyale fuata upepo?

Halafu nani aliyekudanganya kuwa ukipata one au two ndiyo una akili?? Mfano wewe hapo umepata daraja la kwanza unahisi una akili?? Halafu elimu yenyewe ya Tanzania!
uwakika ninao. shafii form 4 alifeli kama alifaulu aje na vyeti. unless alifanya manuva.
ila shafii ni form 4 failure. hii uwakika kabisa. sijui what happened next ila form 4 alifeli
 
elimu ya tz ngumu sana. sana. that's y shafii alifeli. form 4

amna kumtetea kilaza.
 
uwakika ninao. shafii form 4 alifeli kama alifaulu aje na vyeti. unless alifanya manuva.
ila shafii ni form 4 failure. hii uwakika kabisa. sijui what happened next ila form 4 alifeli
Kuandika vizuri huwezi, unapata wapi mamlaka ya kuhoji elimu za watu?!

Jambo la msingi ilikuwa ni wewe kuanza kujifunza uandishi na sarufi.
 
Shafii kaumia sana kuona Yanga ikishinda goli nne.
Yanga ikishinda magoli machache, wachambuzi uchwara wanasema imekwisha makali na ikishinda goli nyingi wanasema imenunua mechi. Wote wanasahau kuwa, katika mechi zote hizo Yanga wameonyesha uwezo mkubwa wa kucheza, kumiliki na kushambulia timu pinzani kupitiliza.

Shafii asisahau kuwa, wiki mbili zijazo Yanga itacheza na Simba na huenda kipigo kikarejewa upya.
Waandishi wengi wa michezo,wengi tayari wamechezewa. Wako kimasrahi
 
Mimi ni Yanga ila Kwenye Elimu umemkosea sana. SHaffih ni mhitimu wa IFM baada ya kutoka St Anthony na kupasua. Si kilaza academically kama ulivyoandika.
shafii la 7. elimu hana kujenga hoja aujui,

kichwani empty, clouds wanaajili vibes tu. ila kichwani maji kubwaa maji kujaa.

wanaomfatilia nao kama vilaza
 
ila jamaa naye kapambana sana iliapewe nyekundu angalau nyuma mwiko wapate migoli
Hivi team pinzani ikiwa na kadi nyekundu ndio inafungwa? Mbona Prison ilipigwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza mechi na Simba na bado ilishinda kwa magoli mawili ya Mbangula? Kama unajua unajua tu.
 
uwakika ninao. shafii form 4 alifeli kama alifaulu aje na vyeti. unless alifanya manuva.
ila shafii ni form 4 failure. hii uwakika kabisa. sijui what happened next ila form 4 alifeli
Unaposema form failure una maana gani mkuu? Kwamba alipata zero?
 
shafii la 7. elimu hana kujenga hoja aujui,

kichwani empty, clouds wanaajili vibes tu. ila kichwani maji kubwaa maji kujaa.

wanaomfatilia nao kama vilaza
Azania Secondary ni kijiwe cha pool table? IFM ni kijiwe cha kahawa?
 
Hivi team pinzani ikiwa na kadi nyekundu ndio inafungwa? Mbona Prison ilipigwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza mechi na Simba na bado ilishinda kwa magoli mawili ya Mbangula? Kama unajua unajua tu.
Nani alionyeshwa kadi nyekundu mechi hiyo?
 
Bakari Ali na Beka Ali.Shamba hilo hilo wavunaji tofauti.
 
Back
Top Bottom