Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Shafii ni sehemu ya TFF anavyoiponda ameonyesha unafki amefungiwa kwa sababu yeye ni mjumbe anatoa SiriTFF Ni Kama Ilivyo Serikali Ambayo Haipendi Kuambiwa Ukweli.
Ukiiambia Ukweli Itakuondoa Na Kulazimisha Ujiuzulu.
Aanzisha Uzi wako wa tundu lissu mbona kuanzisha Uzi ni bure tuweni wastarabuTundu lisu ilibidi afanye nini ili asipigwe risasi? Huwajui madikteta wewe
Umezungumza kumuondoa, hujazungumza kufungiwaHuwezi kuwa board member wa kampuni alafu uko bize kuiponda kwenye mitandao lazima watakuondoa tu
Shafii kiaziAdhabu aliyopewa Shaffih ni kubwa sana lakin ukifuatilia hili sakata utagundua Shafii anakosea sana wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu mda uko bize kuniponda TFF kama ni malalamiko angeyapeleka TFF na sio mitandaoni.
Shafii angetakiwa ajiuzulu ujumbe wa mkutano mkuu wa TFF ili awe na uhuru wa kuiponda, alichokuwa anafanya Shafii ni undumilakuwili na unafiki.
Huwezi kuwa board member wa kampuni alafu uko bize kuiponda kwenye mitandao lazima watakuondoa tu watu Shafii ajifunze ethics za kazi.
Shafii ni mjumbe inamaana yeye pia ni sehemu ya TFF kutwa Yuko bize kuiponda TFF huo ni uzindaki na unafki
Jaribu kutumia wewe huwezi fungiwa au mtu yeyote, Shafii alikua mjumbe means anajua Siri na anapewa briefing mambo yanayoendeleawapuuzi tu wale TFF waje wanifungie na mimi. wasiambiwe ukweli?
Shafii na usimba wake ni mnafiki sana, kikubwa atumikie adhabu.Adhabu aliyopewa Shaffih ni kubwa sana lakin ukifuatilia hili sakata utagundua Shafii anakosea sana wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu mda uko bize kuniponda TFF kama ni malalamiko angeyapeleka TFF na sio mitandaoni.
Shafii angetakiwa ajiuzulu ujumbe wa mkutano mkuu wa TFF ili awe na uhuru wa kuiponda, alichokuwa anafanya Shafii ni undumilakuwili na unafiki.
Huwezi kuwa board member wa kampuni alafu uko bize kuiponda kwenye mitandao lazima watakuondoa tu watu Shafii ajifunze ethics za kazi.
Shafii ni mjumbe inamaana yeye pia ni sehemu ya TFF kutwa Yuko bize kuiponda TFF huo ni uzindaki na unafki
Ni mnafki sanaShafii na usimba wake ni mnafiki sana, kikubwa atumikie adhabu.
Wamemkomoa, kwa kosa lile sio wa kupewa adhabu hiyo.
Mihemko imehusika katika kutoa maamuzi
Soma post #18 utakiona nilichokisemaUnaposema ni mihemko kwani TFF haikutumia kanuni kutoa adhabu hiyo?
Badala yake maoni ya wengi hapa ndiyo yamejaa mihemko
Upo sahihi,ila kick zinamponza sana huyu kijanaAdhabu aliyopewa Shaffih ni kubwa sana lakin ukifuatilia hili sakata utagundua Shafii anakosea sana wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu mda uko bize kuniponda TFF kama ni malalamiko angeyapeleka TFF na sio mitandaoni.