Shaffih Dauda ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF, malalamiko angepeleka TFF

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Adhabu aliyopewa Shaffih ni kubwa sana lakin ukifuatilia hili sakata utagundua Shafii anakosea sana wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu mda uko bize kuniponda TFF kama ni malalamiko angeyapeleka TFF na sio mitandaoni.

Shafii angetakiwa ajiuzulu ujumbe wa mkutano mkuu wa TFF ili awe na uhuru wa kuiponda, alichokuwa anafanya Shafii ni undumilakuwili na unafiki.

Huwezi kuwa board member wa kampuni alafu uko bize kuiponda kwenye mitandao lazima watakuondoa tu watu Shafii ajifunze ethics za kazi.

Shafii ni mjumbe inamaana yeye pia ni sehemu ya TFF kutwa Yuko bize kuiponda TFF huo ni uzindaki na unafki
 
TFF Ni Kama Ilivyo Serikali Ambayo Haipendi Kuambiwa Ukweli.

Ukiiambia Ukweli Itakuondoa Na Kulazimisha Ujiuzulu.
Shafii ni sehemu ya TFF anavyoiponda ameonyesha unafki amefungiwa kwa sababu yeye ni mjumbe anatoa Siri

Ndo maana kusikia Oscar Oscar kafungiwa kwa sababu Hana nafasi yeyote TFF sababu Yuko huru
 
Tundu Lisu ilibidi afanye nini ili asipigwe risasi? Huwajui madikteta wewe
 
Wamemkomoa, kwa kosa lile sio wa kupewa adhabu hiyo.

Mihemko imehusika katika kutoa maamuzi
 
Adhabu aliyopewa Shaffih ni kubwa sana lakin ukifuatilia hili sakata utagundua Shafii anakosea sana wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu mda uko bize kuniponda TFF kama ni malalamiko angeyapeleka TFF na sio mitandaoni.

Shafii angetakiwa ajiuzulu ujumbe wa mkutano mkuu wa TFF ili awe na uhuru wa kuiponda, alichokuwa anafanya Shafii ni undumilakuwili na unafiki.

Huwezi kuwa board member wa kampuni alafu uko bize kuiponda kwenye mitandao lazima watakuondoa tu watu Shafii ajifunze ethics za kazi.

Shafii ni mjumbe inamaana yeye pia ni sehemu ya TFF kutwa Yuko bize kuiponda TFF huo ni uzindaki na unafki
Shafii kiazi
 
wapuuzi tu wale TFF waje wanifungie na mimi. wasiambiwe ukweli?
Jaribu kutumia wewe huwezi fungiwa au mtu yeyote, Shafii alikua mjumbe means anajua Siri na anapewa briefing mambo yanayoendelea

Kazi yake ni kuchukua habari za ndani kama mjumbe na kwenda kwenye wall yake ya Instagram na kuanza kuwaponda hio sio professional
 
Adhabu aliyopewa Shaffih ni kubwa sana lakin ukifuatilia hili sakata utagundua Shafii anakosea sana wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu mda uko bize kuniponda TFF kama ni malalamiko angeyapeleka TFF na sio mitandaoni.

Shafii angetakiwa ajiuzulu ujumbe wa mkutano mkuu wa TFF ili awe na uhuru wa kuiponda, alichokuwa anafanya Shafii ni undumilakuwili na unafiki.

Huwezi kuwa board member wa kampuni alafu uko bize kuiponda kwenye mitandao lazima watakuondoa tu watu Shafii ajifunze ethics za kazi.

Shafii ni mjumbe inamaana yeye pia ni sehemu ya TFF kutwa Yuko bize kuiponda TFF huo ni uzindaki na unafki
Shafii na usimba wake ni mnafiki sana, kikubwa atumikie adhabu.
 
Unaposema ni mihemko kwani TFF haikutumia kanuni kutoa adhabu hiyo?
Badala yake maoni ya wengi hapa ndiyo yamejaa mihemko
Wamemkomoa, kwa kosa lile sio wa kupewa adhabu hiyo.

Mihemko imehusika katika kutoa maamuzi
 
Maoni #CrusAstrum

Kwa maoni yangu lakini.. Naona kama vile TFF wameingilia role ya TCRA. How comes TFF imfungie mtu hadi kwenye kazi ya utangazaji.. Kwanini wasingemfungia au kumuondoa TFF tu.. Ndipo TCRA watoe tamko kuhusu kufungiwa in media?
Lengo kubwa la adhabu ni kurekebishana na sio kukomoana. Nje ya Shaffih, kuna familia, kuna ndugu kuna vingi kuna vijana wanakuwa kimpira. So kumkwamisha Shaffih ni kukwamisha vingi katika tasnia ya michezo Tanzania.
Adhabu aliyopewa shaffih na mwenzake wa Biashara ni kuogopesha mtu kufanya au kujudge TFF, so it implies tunyamaze koz tutamaliziwa career zetu. Me naona ni kumomoana na si kufundishana.
 
Adhabu aliyopewa Shaffih ni kubwa sana lakin ukifuatilia hili sakata utagundua Shafii anakosea sana wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu mda uko bize kuniponda TFF kama ni malalamiko angeyapeleka TFF na sio mitandaoni.

Shafii angetakiwa ajiuzulu ujumbe wa mkutano mkuu wa TFF ili awe na uhuru wa kuiponda, alichokuwa anafanya Shafii ni undumilakuwili na unafiki.

Huwezi kuwa board member wa kampuni alafu uko bize kuiponda kwenye mitandao lazima watakuondoa tu watu Shafii ajifunze ethics za kazi.

Shafii ni mjumbe inamaana yeye pia ni sehemu ya TFF kutwa Yuko bize kuiponda TFF huo ni uzindaki na unafki
Upo sahihi,ila kick zinamponza sana huyu kijana
 
Back
Top Bottom