Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Pengine wewe ndo sio muelewa wengine wanamuelewa inatosha Kiongozi si lazima uelewe au umuelewe kila mtu mengine potezea..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi tangu Dauda nigundue hajui kuandika Kiswahili kwa ufasaha simfuatilii popote pale. Ni empty head yule. Sijui huko mawingu kwanini walimpa ukuu wa kitengo. A disgrace.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ushamba mwingi,kulazimisha kuchanganya swanglish pasipo na haja.....still bado......
 
kusema ukweli mi jamaa nilikuwa namkubali lkn juzi ktk sports extra ndio aliniacha HOI punde alipo diriki kumfananisha chama na Mo ibrahim hapo mi nikahamisha station nikaweka EA radio kuna jamaa pale anaitwa ticha ah jamaa anajua uchambuzi balaa honestly speaking, kwa mdau yeyote wa mpira unaanzaje kumfananisha chama na mo ibrahim jaman ? kuanzia ball controll, dribbling skills, concentration uwanjan chama ni excellent unajuwa baadhi ya wachezaji wetu wa bongo kama vile hawajitambui vizuri
 
Acha uongo PCM akasomea Marketing ? unless useme alikula mwerleka kitu cha six,.. unajua kujua kucheza mpira wa mchangani sio ndio kuujua mpira wa sasa, wale ni RIZIKI tu ktk tafuta tafuta mipango ya mwenyeezi Mungu S.A.W ndipo walipoandikwa riziki yao hapo lkn ndio hivyo tena mapenzi kwa wana jangwani yamemuelemea msimu huu badala ya kuichangia club yake pale mtaa wa twiga yy kazi yake kuikebei timu inayoshiriki ligi ya mabingwaaa yaan wawakilishi pekee afrika mashariki nzimaaa
 
Angalia tu pasi za Chama,Shaffi anajitahidi kuivuruga simba ila anashindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ni Best, sema Tu kawachikonoa kuwaambia Under Dog
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…