denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
CCM hawajui hata kumkaririsha shahidi uongo akautoe mahakamani nayo ni kazi inayohitaji uzoefu.
Pia walimu wao wakukaririsha nao hawajielewi hawajui kuna mambo ya kufuatilia nje ili kuondoa uwezekano wa mgongano kati ya kile atachoongea shahidi na uhalisia wa maisha yake mtaani.
Huyo jamaa wamemuokota kwa mtindo ule ule Sabaya aliokuwa akiutumia kuwaokota wanachama wa CCM walevi wa gongo Hai ambao majina yao yametajwa na huyo shahidi wakafanye vurugu kwenye mikutano ya Mbowe.
Naamini hata huyo Kaaya nae ni mmojawapo wa kundi lile labda tofauti yake pekee yeye alikuwa hanywi gongo kama wenzake, lakini chakushangaza pamoja na ujinga wao wote huu bado jamaa watashinda kesi.