Shahidi wa pili kesi ya Mbowe, Bw. Kaaya afunga akaunti ya facebook baada ukweli kuhusu uachama wake wa CCM kuwekwa wazi mitandaoni

Shahidi wa pili kesi ya Mbowe, Bw. Kaaya afunga akaunti ya facebook baada ukweli kuhusu uachama wake wa CCM kuwekwa wazi mitandaoni

CCM hawajui hata kumkaririsha shahidi uongo akautoe mahakamani nayo ni kazi inayohitaji uzoefu.

Pia walimu wao wakukaririsha nao hawajielewi hawajui kuna mambo ya kufuatilia nje ili kuondoa uwezekano wa mgongano kati ya kile atachoongea shahidi na uhalisia wa maisha yake mtaani.

Huyo jamaa wamemuokota kwa mtindo ule ule Sabaya aliokuwa akiutumia kuwaokota wanachama wa CCM walevi wa gongo Hai ambao majina yao yametajwa na huyo shahidi wakafanye vurugu kwenye mikutano ya Mbowe.

Naamini hata huyo Kaaya nae ni mmojawapo wa kundi lile labda tofauti yake pekee yeye alikuwa hanywi gongo kama wenzake, lakini chakushangaza pamoja na ujinga wao wote huu bado jamaa watashinda kesi.
 
Uanachama wa CCM haumzuii mtu kuwa shahidi! Ni kama ambavyo akina Kibatala wataleta wanachama wa CDM kama mashahidi wa utetezi wa Mkiti wao
 
Uanachama wa CCM haumzuii mtu kuwa shahidi! Ni kama ambavyo akina Kibatala wataleta wanachama wa CDM kama mashahidi wa utetezi wa Mkiti wao
Ila ushirikiano wa shahidi na mfungwa wa CCM wa miaka 30 gerezani aliyekutwa na hatia za ujambazi ambae shahidi anakiri alikuwa houseboy wake Hai anampelekea chai ofisini, unaondoa thamani ya ushahidi unaotolewa na shahidi huyo mahakamani.
 
CCM hawawezi tena kutawala kwa kufanya kazi nzuri ili wakubalike, walichobakiza ni kutishia,kufunga wapinzani,kuteka,kuua,kuzuia mikutano, kuzima internet,kuiba kura, propaganda za uwongo,wizi etc na mara nyingi nchi inakuwa imejaa umaskini wa kutupa,ukiona hivyo siku zao za mwisho mwisho ndio zimefika, History haidanganyi na hujirudia, tawala za kipuuzi kama CCM ni classic case na hawatapona na hilo na kibaya zaidi wanaweza wakaishia kufungiwa kufanya siasa
 
Kabisa Mkuu Mwenyezi Mungu ni mwema sana na siku zote hamtupi mja wake. Hii Serikali haramu inaweza kabisa kumfunga Mbowe hiyo miaka 30?

Au hata maisha pamoja na kuwa hakuna chembe ya ushahidi wa kumtia hatiani. Watanzania na Walimwengu wote tutashuhudia kwa mara nyingine tena udhalimu wa hii Serikali haramu.
Mungu ni mwema!Mungu ni wetu sote.Mungu siyo wa CCM tu.

Nikumbushe tu MBOWE akifungwa nadhani itakufuraha kwako,kwa kuwa utakuwa umepona magonjwa yote yanayokuandama...
 
Ila ushirikiano wa shahidi na mfungwa wa CCM wa miaka 30 gerezani aliyekutwa na hatia za ujambazi ambae shahidi anakiri alikuwa houseboy wake Hai anampelekea chai ofisini, unaondoa thamani ya ushahidi unaotolewa na shahidi huyo mahakamani.
Kwa pointi yako ni kwamba Mtu wa karibu wa Mbowe (e.g. Mukya), hawezi kuwa shahidi wa utetezi? Sababu tu amekuwa karibu sana na Mbowe kwa muda mrefu? Unajua kwamba kuna kuapa mahakamani kabla ya kutoa ushahidi? Unajua kitu kinaitwa "Perjury"?
 
Mtu ashahukumiwa kwa kesi ya ujambazi wa kutumia siraha na bado ana kesi nyingi maadui aliokua nao ni wengi kwa makosa aliyoyafanya leo hii anapewa mtu mwingine kesi eti alitaka kumuua Jambazi Sugu hivi kutaka kumuua Sabaya au mtu mwingine yeyote kunahitaji ujinga ujinga wa vikundi kama Vicoba kupigiana simu kukutana sijui haya maharage ya wapi watu wanakula yanawatoa uwezo wa kufikiri kabisa...
 
Kwa pointi yako ni kwamba Mtu wa karibu wa Mbowe (e.g. Mukya), hawezi kuwa shahidi wa utetezi? Sababu tu amekuwa karibu sana na Mbowe kwa muda mrefu? Unajua kwamba kuna kuapa mahakamani kabla ya kutoa ushahidi? Unajua kitu kinaitwa "Perjury"?
Anaweza kuwa shahidi mzuri sana kwasababu Mbowe hana rekodi yoyote ya kutenda uhalifu na ukathibitishwa mahakamani, labda uwe uhalifu wa kutengenezwa kama huu tunaouona hivi sasa.

Kuapa mahakamani bado hakumzuii shahidi kusema uongo kwasababu jaji sio Mungu ajue dhamira ya shahidi, na kuthibitisha hili ndio maana shahidi wenu licha ya kudai sio mkereketwa wa chama chochote cha siasa lakini ameonekana alishawahi kupiga picha akiwa na shati la kijani, simply huyu ni muongo alieapa mahakamani na jaji akakubali kiapo chake.
 
Alisema siyo mwanachama, hakusema siyo mkereketwa!! Kama kadanganya ni kazi ya mawakili wa utetezi kuprove, ila huwezi kuprove uanachama wa mtu kwa sababu kavaa nguo za chama fulani cha siasa kwenye social medias! unaweza kuwa mkereketwa na siyo mwanachama pia!

Mbele ya sheria Mbowe na Sabaya wote ni sawa, hamna mwenye haki zaidi ya mwenzake kwenye jicho la sheria, mambo ya huyu ni muhalifu or siyo tunayajua sisi huku mtaani! Rekodi ya uhalifu inasaidia tu kupewa minimum/maximum adhabu pale unapokamatwa na kosa!

Kwa hiyo wewe unaamini yote aliyosema shahidi jana ni uongo??? And unaamini pia ukishakuwa na rekodi ya uhalifu basi watu wako wa karibu hawawezi kuwa mashahidi wa upande wako?? Acha ushabiki Chief
 
We mfuasi wa kampuni ya mbowe acha kuangaika usiku...mbowe atafungwa tu ni guide yule...mnakosea mnapo tafsiri hili swala la mbowe kisiasa...mbona ushahidi upo wazi sana kuliko hata zile kesi za Sabaya za kuunga unga ushahidi
Kufungwa anaweza Kufungwa kwasababu watawala wametaka afungwe lakini si kwa tuhuma walizompatia
 
We mfuasi wa kampuni ya mbowe acha kuangaika usiku...mbowe atafungwa tu ni guide yule...mnakosea mnapo tafsiri hili swala la mbowe kisiasa...mbona ushahidi upo wazi sana kuliko hata zile kesi za Sabaya za kuunga unga ushahidi
Ushahidi gani upo? Weka mmoja tu hapa wewe punguani!
 
Mleta mada kwa hiyo mtu ukiajiriwa Chadema Kama dereva au mlinzi lazima uwe mwana Chadema?
 
Hii inaitwa kukurupuka na kukosa watu walio serious kwenye uandaaji na utetezi wa kesi ya jinai. Kwa mahakama zilizo huru na ambazo zinajitegemea kilichofanywa na shahidi
IMG-20211027-WA0187.jpg
 
Hivi nikweli kabisa kwa mtazamo na uelewa wako kwa kinachoendelea mahakamani unasadiki kuyaongea haya? Au wewe niwale matomaso? Kwamba unacho kijua ndivyo lasivyo ushuhudie mwenyewe? Hata kama hatujui sheria au hatuna uelewa jamaa zako wana toa povu hadi ina keraa. Kupotezeana muda kwa mambo ya ajabu kabisaa.
Aibu sn kuwa na nchi ambayo mahakama zinachezewa na chama cha siasa kama CCM
 
Alisema siyo mwanachama, hakusema siyo mkereketwa!! Kama kadanganya ni kazi ya mawakili wa utetezi kuprove, ila huwezi kuprove uanachama wa mtu kwa sababu kavaa nguo za chama fulani cha siasa kwenye social medias! unaweza kuwa mkereketwa na siyo mwanachama pia!

Mbele ya sheria Mbowe na Sabaya wote ni sawa, hamna mwenye haki zaidi ya mwenzake kwenye jicho la sheria, mambo ya huyu ni muhalifu or siyo tunayajua sisi huku mtaani! Rekodi ya uhalifu inasaidia tu kupewa minimum/maximum adhabu pale unapokamatwa na kosa!

Kwa hiyo wewe unaamini yote aliyosema shahidi jana ni uongo??? And unaamini pia ukishakuwa na rekodi ya uhalifu basi watu wako wa karibu hawawezi kuwa mashahidi wa upande wako?? Acha ushabiki Chief
Wanachama wa CCM siku hizi wapo kwenye database. Ni rahisi kuprove uanachama wake kidigitali, siyo kama zamani kadi inatoka kianaligia.
 
Back
Top Bottom