evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Ishu ni kuidanganya Mahakamani kwa nini aseme yeye sio maana ccmUanachama wa CCM haumzuii mtu kuwa shahidi! Ni kama ambavyo akina Kibatala wataleta wanachama wa CDM kama mashahidi wa utetezi wa Mkiti wao
Kupiga picha na Bashiru na kuvaa nguo za CCM tayari amekuwa mwanachama wa CCM? Toa utahira wako hapa! Unajua ili uwe mwanachama wa chama fulani inabidi uwe na nini/sifa gani?
Amesema yeye siyo MWANACHAMA, hajasema yeye siyo mshabiki wa CCM (Tofautisha mwanachama na mshabiki/mkereketwa), Mimi ni mshabiki wa Simba lakini siyo mwanachama wa simba!!Ishu ni kuidanganya Mahakamani kwa nini aseme yeye sio maana ccm
Onyesheni miti aliyokata bila kibali ili afungweWe mfuasi wa kampuni ya Mbowe acha kuangaika usiku...mbowe atafungwa tu ni guide yule...mnakosea mnapo tafsiri hili swala la mbowe kisiasa...mbona ushahidi upo wazi sana kuliko hata zile kesi za Sabaya za kuunga unga ushahidi
Unaenda lini kusali kwenye kaburi Chato?We mfuasi wa kampuni ya Mbowe acha kuangaika usiku...mbowe atafungwa tu ni guide yule...mnakosea mnapo tafsiri hili swala la mbowe kisiasa...mbona ushahidi upo wazi sana kuliko hata zile kesi za Sabaya za kuunga unga ushahidi
Sio wewe niliyekwambia kuapa hakumzuii shahidi kusema uongo? na kujihusisha maana yake ndio ukereketwa, dogo mambo hujui unapiga kelele tu hapa, unafundishwa unajidai hutaki kuelewa wakati majibu yako mwenyewe yanakurudisha unapopakataa.Kuna mtu asiyejihusisha na siasa? Ishu ni moja tu, ni mwanachama or siyo mwanachama? Kujihusisha na chama fulani haimaanishi wewe ni mwanachama wa chama hicho! And kuwa mwanachama wa chama fulani haikunyimi haki ya kuwa shahidi wa kesi ambayo hiko chama kinahusishwa, ndiyo maana kuna kuapa na kuhojiwa na mawakili wa pande zote mbili! Ni kazi ya mawakili wenu "akili kubwa" kudhibitisha uongo wake
Basi sio mwanachama ni mwanasesere! I am sorry I don't argue with idiotsKupiga picha na Bashiru na kuvaa nguo za CCM tayari amekuwa mwanachama wa CCM? Toa utahira wako hapa! Unajua ili uwe mwanachama wa chama fulani inabidi uwe na nini/sifa gani?
You are the idiot one....Hujui hata tofauti ya mwanachama na shabiki!! Umeweka ushabiki wa kijinga mbeleBasi sio mwanachama ni mwanasesere! I am sorry I don't argue with idiots
Za Sabaya na hizo Za Mbowe zipi zakuungaunga?We mfuasi wa kampuni ya Mbowe acha kuangaika usiku...mbowe atafungwa tu ni guide yule...mnakosea mnapo tafsiri hili swala la mbowe kisiasa...mbona ushahidi upo wazi sana kuliko hata zile kesi za Sabaya za kuunga unga ushahidi
Ewaaaa here you're! Kwahio Shabiki wa CCM ndio anaenda kutoa ushahidi dhidi ya Mwanachama na kiongozi wa Upinzani? Wewe kinyesi kweli! Wewe sio level yangu na sikujibu tenaYou are the idiot one....Hujui hata tofauti ya mwanachama na shabiki!! Umeweka ushabiki wa kijinga mbele
Huna Akili! Kwa hiyo Shabiki wa CDM hawezi kuitwa na upande wa utetezi kama shahidi in favour of Mbowe? JF kuna vilaza wengi sana siku hiziEwaaaa here you're! Kwahio Shabiki wa CCM ndio anaenda kutoa ushahidi dhidi ya Mwanachama na kiongozi wa Upinzani? Wewe kinyesi kweli! Wewe sio level yangu na sikujibu tena
Usisahau pia kuwa Katibu wa CCM wa Longido ambaye shahidi Kaaya alikuwa msaidizi wake ni swahiba wa Sabaya, unganisha dot na kufuatilia kwa karibu kama bado huyo Katibu bado yuko kazini na kama hayupo kwa nini !Hii inaitwa kukurupuka na kukosa watu walio serious kwenye uandaaji na utetezi wa kesi ya jinai. Kwa mahakama zilizo huru na ambazo zinajitegemea kilichofanywa na shahidi wa pili kinatosha kumfunga au kutaka Chama cha mapinduzi kinachotuhumiwa kutumia Polisi na wanachama wa chama hicho kuidanganya mahakama kufika mahakamani kujieleza kuhusu utata uliojitokeza juu ya ushahidi unaoendelea.
Katika ushahidi uliotolewa shahidi huyu wa pili amekana kutokuwa na affiliation na chama cha siasa. Lakini jamii au public ambayo inamjua shahidi imesambaza Taarifa zake zinazothibitisha kuwa alikuwa kada wa CCM.
Jambo la pili shahidi huyu imethibitika kwamba alikuwa mwajiriwa wa Sabaya lakini walihitilafiana kisha akakamatwa na kubambikiwa kesi ambayo baadaye ilifutwa. Leo anasimama mahakamani kusema kwamba alishirikishwa na Mbowe kumdhuru Sabaya. Huu ni ukakasi wa pili kuhusu credibility ya mahakama kumruhusu mtu Kama huyu kusimama mbele ya Jaji akajitungia. Story.
Lakini kwa kiburi baada ya kuona ushahidi wake unakinzana na ukweli wa akaunti yake ya Facebook amedelete akaunti hiyo. Je, hao waliompanga walishindwa kupitia hata account zake za mitandao ya kijamii kuona zinavyoweza kuathiri kesi jhii hadi anafika kutoa ushahidi? Huu uzembe mkubwa hivi unaashiria nn kuhusu umakini wa vyombo vya dola?
Lakini pia huyu bwana aliajiriwa kuwa msaidizi wa katibu wa CCM longido na hata alipohitilafiana na Sabaya alirejea huko, je huko alikoajiriwa mwajiri alimwajiri mtu aliyekinyume na itikadi ya chama ?
Ila pia uhusika wa Pole pole, Bashiru, Gambo na Dagaro unamtenganisha vipi na chama Tawala?
Kitu chakushangaza wakati anakamatwa alikutwa na dola zakutosha na tshs zakutosha ambazo anadai alitoka kuuza mbogamboga lakini mtu huyo anayetembea na zaidi ya milioni mbili mfukoni anasema alikuwa akipewa shs elfu hamsini na Mbowe.......huu ugaidi huu
Hii Ni fedhea nyingine kwa mahakama na Serikali ,tengenezeni mambo yenye logic siyo watu wa aina hii ambao wamekaririshwa.
Mambo ya ccm yatajiumbua yenyewe mara mia kuliko hata ilivyotokea kwa Hamza na polisi muda unaoongea na unazidi kuyoyoma,siasa hii waliyoitengeneza kuwa maslahi badala ya maisha ya kila siku ya wananchi itawaumbua siku wakidhulumiana wenyewe kwa wenyewe maana lengo lao hawataki siasa za ushindani.Hii inaitwa kukurupuka na kukosa watu walio serious kwenye uandaaji na utetezi wa kesi ya jinai. Kwa mahakama zilizo huru na ambazo zinajitegemea kilichofanywa na shahidi wa pili kinatosha kumfunga au kutaka Chama cha mapinduzi kinachotuhumiwa kutumia Polisi na wanachama wa chama hicho kuidanganya mahakama kufika mahakamani kujieleza kuhusu utata uliojitokeza juu ya ushahidi unaoendelea.
Katika ushahidi uliotolewa shahidi huyu wa pili amekana kutokuwa na affiliation na chama cha siasa. Lakini jamii au public ambayo inamjua shahidi imesambaza Taarifa zake zinazothibitisha kuwa alikuwa kada wa CCM.
Jambo la pili shahidi huyu imethibitika kwamba alikuwa mwajiriwa wa Sabaya lakini walihitilafiana kisha akakamatwa na kubambikiwa kesi ambayo baadaye ilifutwa. Leo anasimama mahakamani kusema kwamba alishirikishwa na Mbowe kumdhuru Sabaya. Huu ni ukakasi wa pili kuhusu credibility ya mahakama kumruhusu mtu Kama huyu kusimama mbele ya Jaji akajitungia. Story.
Lakini kwa kiburi baada ya kuona ushahidi wake unakinzana na ukweli wa akaunti yake ya Facebook amedelete akaunti hiyo. Je, hao waliompanga walishindwa kupitia hata account zake za mitandao ya kijamii kuona zinavyoweza kuathiri kesi jhii hadi anafika kutoa ushahidi? Huu uzembe mkubwa hivi unaashiria nn kuhusu umakini wa vyombo vya dola?
Lakini pia huyu bwana aliajiriwa kuwa msaidizi wa katibu wa CCM longido na hata alipohitilafiana na Sabaya alirejea huko, je huko alikoajiriwa mwajiri alimwajiri mtu aliyekinyume na itikadi ya chama ?
Ila pia uhusika wa Pole pole, Bashiru, Gambo na Dagaro unamtenganisha vipi na chama Tawala?
Kitu chakushangaza wakati anakamatwa alikutwa na dola zakutosha na tshs zakutosha ambazo anadai alitoka kuuza mbogamboga lakini mtu huyo anayetembea na zaidi ya milioni mbili mfukoni anasema alikuwa akipewa shs elfu hamsini na Mbowe.......huu ugaidi huu
Hii Ni fedhea nyingine kwa mahakama na Serikali ,tengenezeni mambo yenye logic siyo watu wa aina hii ambao wamekaririshwa.
Wewe mpumbavu tu kama wapumbavu wengine,Nyerere aliwekwa ndani,Kaunda aliwekwa ndani,Mandela alifungwa na makaburu,Hakainde akawekwa ndani na pumbavu mwenzio Lungu,lakini leo ni mashujaa pumbavu.We mfuasi wa kampuni ya Mbowe acha kuangaika usiku...mbowe atafungwa tu ni guide yule...mnakosea mnapo tafsiri hili swala la mbowe kisiasa...mbona ushahidi upo wazi sana kuliko hata zile kesi za Sabaya za kuunga unga ushahidi
AminaMungu ni mwema!Mungu ni wetu sote.Mungu siyo wa CCM tu.
Nikumbushe tu MBOWE akifungwa nadhani itakufuraha kwako,kwa kuwa utakuwa umepona magonjwa yote yanayokuandama,Mbowe akifungwa tatizo la kiuchumi kwako itakuwa historian tena.Mbowe akifungwa mama yako hawezi kuuguwa tena ugonjwa wa kansa.Mbowe akifungwa kisukari na shinikizo la damu itakuwa historian kwenu.Mbowe akifungwa familia na ukoo wenu wote hautakuwa na watoto vilaza darasani.
Mungu kama aishivyo na akuhukumu yeye mwenyewe sawa sawa na matendo na maneno yako.
sile sms zinaweza kutengenezwa tu toka mtandao husika, sauti inaweza kuchongwa vile vile kama ile ya Mbowe eti kumtaka wema enzi zile...Ila Mbowe kweli Ukubwa jalala, kapitia mengi sana huyu MWAMBA.Je Yale mawasiliano anayosema alikuwa akifanya na mbowe Yana ukweli wowote.na kuna wakati anasema mbowe alimtumia hela huyo kaaya.