Shahidi wa pili kesi ya Mbowe, Bw. Kaaya afunga akaunti ya facebook baada ukweli kuhusu uachama wake wa CCM kuwekwa wazi mitandaoni

Shahidi wa pili kesi ya Mbowe, Bw. Kaaya afunga akaunti ya facebook baada ukweli kuhusu uachama wake wa CCM kuwekwa wazi mitandaoni

Uanachama wa CCM haumzuii mtu kuwa shahidi! Ni kama ambavyo akina Kibatala wataleta wanachama wa CDM kama mashahidi wa utetezi wa Mkiti wao
Ishu ni kuidanganya Mahakamani kwa nini aseme yeye sio maana ccm
 
Ishu ni kuidanganya Mahakamani kwa nini aseme yeye sio maana ccm
Amesema yeye siyo MWANACHAMA, hajasema yeye siyo mshabiki wa CCM (Tofautisha mwanachama na mshabiki/mkereketwa), Mimi ni mshabiki wa Simba lakini siyo mwanachama wa simba!!
 
We mfuasi wa kampuni ya Mbowe acha kuangaika usiku...mbowe atafungwa tu ni guide yule...mnakosea mnapo tafsiri hili swala la mbowe kisiasa...mbona ushahidi upo wazi sana kuliko hata zile kesi za Sabaya za kuunga unga ushahidi
Onyesheni miti aliyokata bila kibali ili afungwe
 
We mfuasi wa kampuni ya Mbowe acha kuangaika usiku...mbowe atafungwa tu ni guide yule...mnakosea mnapo tafsiri hili swala la mbowe kisiasa...mbona ushahidi upo wazi sana kuliko hata zile kesi za Sabaya za kuunga unga ushahidi
Unaenda lini kusali kwenye kaburi Chato?
 
Nchi imefika mahali ambapo ukweli sio kitu tena machoni pa watu wala mahakama na serikali yenyewe. Serikali na vyombo vyake inaunda kesi ambayo inatumika kuanika madhaifu yake hata kupelekea kufanya vitu visivyo vya kistaarabu na aibu kwa wanaotutazama. Hizi sarakasi zote ni kujaribu kuhalalisha uongo ulio wazi na unajidhihirisha mahakani na ni aibu kubwa na fedheha kwa serikali na mahakama yenyewe. Naishauri Serikali ijiweke pembeni kwenye kesi hii ya kisiasa na ya kufedhehesha usoni mwa wanaotutazama. Tuache siasa zichezwe na wanasiasa, serikali kujitumbukiza humu ni fedheha kubwa. Rais usifunge milango ya mawasiliano na vyama vya siasa utagundua unachoambiwa na watu wako hayana mashiko ila ni sarakasi za chama chako. Vyama vya siasa ni watanzania wanaostahili kuishi na kufurahia maisha yao kama watu wote. Siasa sio vita wala uhasama.
 
Kuna mtu asiyejihusisha na siasa? Ishu ni moja tu, ni mwanachama or siyo mwanachama? Kujihusisha na chama fulani haimaanishi wewe ni mwanachama wa chama hicho! And kuwa mwanachama wa chama fulani haikunyimi haki ya kuwa shahidi wa kesi ambayo hiko chama kinahusishwa, ndiyo maana kuna kuapa na kuhojiwa na mawakili wa pande zote mbili! Ni kazi ya mawakili wenu "akili kubwa" kudhibitisha uongo wake
Sio wewe niliyekwambia kuapa hakumzuii shahidi kusema uongo? na kujihusisha maana yake ndio ukereketwa, dogo mambo hujui unapiga kelele tu hapa, unafundishwa unajidai hutaki kuelewa wakati majibu yako mwenyewe yanakurudisha unapopakataa.

Mwenzio kafunga kafunga akaunti yake ya fb jana baada ya kujua ameharibu, wewe wakili wake naona unahangaika tu hapa, utetezi wake wa kitoto coz akaunti ni yake anaweza amua atakavyo, mwambie angeamua juzi au kesho, ila sio jana baada ya kuropoka mahakamani na kujua uongo wake anajiumbua kwa picha zake fb.
 
Kupiga picha na Bashiru na kuvaa nguo za CCM tayari amekuwa mwanachama wa CCM? Toa utahira wako hapa! Unajua ili uwe mwanachama wa chama fulani inabidi uwe na nini/sifa gani?
Basi sio mwanachama ni mwanasesere! I am sorry I don't argue with idiots
 
We mfuasi wa kampuni ya Mbowe acha kuangaika usiku...mbowe atafungwa tu ni guide yule...mnakosea mnapo tafsiri hili swala la mbowe kisiasa...mbona ushahidi upo wazi sana kuliko hata zile kesi za Sabaya za kuunga unga ushahidi
Za Sabaya na hizo Za Mbowe zipi zakuungaunga?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
You are the idiot one....Hujui hata tofauti ya mwanachama na shabiki!! Umeweka ushabiki wa kijinga mbele
Ewaaaa here you're! Kwahio Shabiki wa CCM ndio anaenda kutoa ushahidi dhidi ya Mwanachama na kiongozi wa Upinzani? Wewe kinyesi kweli! Wewe sio level yangu na sikujibu tena
 
Katiba mpya ndio msingi wa matatizo yote haya, ila serikali inaweza kutawala upatikanaji katiba mpya bila kuleta madhara mengi kwa wananchi wake na serikali yenyewe. Ili tusifike mahali pa kuchaniana nguo na kuumizana miili na vifo ni vema wananchi wakapewa nguvu za kuchagua wanachotaka bila kuingiliwa badala ya serikali kuwapangia viongozi na hata namna ya kuishi.

Wananchi sio watoto wa chekechea. Waachiwe wananchi wachague viongozi wao toka wakuu wa majimbo/mikoa hadi viongozi wa halmashauri zao. Waachiwe vyanzo vyao vya mapato wajipangie wanachoona kinawafaa kwenye maeneo yao. Serikali kuu imewanyanganya vyanzo vyote halafu wanakaa Dodoma wampangia mwananchi wa huku Njombe kijijini nini cha kufanya. Priorities should come from the people themselves not Government.
 
Ewaaaa here you're! Kwahio Shabiki wa CCM ndio anaenda kutoa ushahidi dhidi ya Mwanachama na kiongozi wa Upinzani? Wewe kinyesi kweli! Wewe sio level yangu na sikujibu tena
Huna Akili! Kwa hiyo Shabiki wa CDM hawezi kuitwa na upande wa utetezi kama shahidi in favour of Mbowe? JF kuna vilaza wengi sana siku hizi
 
Hii inaitwa kukurupuka na kukosa watu walio serious kwenye uandaaji na utetezi wa kesi ya jinai. Kwa mahakama zilizo huru na ambazo zinajitegemea kilichofanywa na shahidi wa pili kinatosha kumfunga au kutaka Chama cha mapinduzi kinachotuhumiwa kutumia Polisi na wanachama wa chama hicho kuidanganya mahakama kufika mahakamani kujieleza kuhusu utata uliojitokeza juu ya ushahidi unaoendelea.

Katika ushahidi uliotolewa shahidi huyu wa pili amekana kutokuwa na affiliation na chama cha siasa. Lakini jamii au public ambayo inamjua shahidi imesambaza Taarifa zake zinazothibitisha kuwa alikuwa kada wa CCM.

Jambo la pili shahidi huyu imethibitika kwamba alikuwa mwajiriwa wa Sabaya lakini walihitilafiana kisha akakamatwa na kubambikiwa kesi ambayo baadaye ilifutwa. Leo anasimama mahakamani kusema kwamba alishirikishwa na Mbowe kumdhuru Sabaya. Huu ni ukakasi wa pili kuhusu credibility ya mahakama kumruhusu mtu Kama huyu kusimama mbele ya Jaji akajitungia. Story.

Lakini kwa kiburi baada ya kuona ushahidi wake unakinzana na ukweli wa akaunti yake ya Facebook amedelete akaunti hiyo. Je, hao waliompanga walishindwa kupitia hata account zake za mitandao ya kijamii kuona zinavyoweza kuathiri kesi jhii hadi anafika kutoa ushahidi? Huu uzembe mkubwa hivi unaashiria nn kuhusu umakini wa vyombo vya dola?

Lakini pia huyu bwana aliajiriwa kuwa msaidizi wa katibu wa CCM longido na hata alipohitilafiana na Sabaya alirejea huko, je huko alikoajiriwa mwajiri alimwajiri mtu aliyekinyume na itikadi ya chama ?

Ila pia uhusika wa Pole pole, Bashiru, Gambo na Dagaro unamtenganisha vipi na chama Tawala?

Kitu chakushangaza wakati anakamatwa alikutwa na dola zakutosha na tshs zakutosha ambazo anadai alitoka kuuza mbogamboga lakini mtu huyo anayetembea na zaidi ya milioni mbili mfukoni anasema alikuwa akipewa shs elfu hamsini na Mbowe.......huu ugaidi huu

Hii Ni fedhea nyingine kwa mahakama na Serikali ,tengenezeni mambo yenye logic siyo watu wa aina hii ambao wamekaririshwa.
Usisahau pia kuwa Katibu wa CCM wa Longido ambaye shahidi Kaaya alikuwa msaidizi wake ni swahiba wa Sabaya, unganisha dot na kufuatilia kwa karibu kama bado huyo Katibu bado yuko kazini na kama hayupo kwa nini !
 
Hii inaitwa kukurupuka na kukosa watu walio serious kwenye uandaaji na utetezi wa kesi ya jinai. Kwa mahakama zilizo huru na ambazo zinajitegemea kilichofanywa na shahidi wa pili kinatosha kumfunga au kutaka Chama cha mapinduzi kinachotuhumiwa kutumia Polisi na wanachama wa chama hicho kuidanganya mahakama kufika mahakamani kujieleza kuhusu utata uliojitokeza juu ya ushahidi unaoendelea.

Katika ushahidi uliotolewa shahidi huyu wa pili amekana kutokuwa na affiliation na chama cha siasa. Lakini jamii au public ambayo inamjua shahidi imesambaza Taarifa zake zinazothibitisha kuwa alikuwa kada wa CCM.

Jambo la pili shahidi huyu imethibitika kwamba alikuwa mwajiriwa wa Sabaya lakini walihitilafiana kisha akakamatwa na kubambikiwa kesi ambayo baadaye ilifutwa. Leo anasimama mahakamani kusema kwamba alishirikishwa na Mbowe kumdhuru Sabaya. Huu ni ukakasi wa pili kuhusu credibility ya mahakama kumruhusu mtu Kama huyu kusimama mbele ya Jaji akajitungia. Story.

Lakini kwa kiburi baada ya kuona ushahidi wake unakinzana na ukweli wa akaunti yake ya Facebook amedelete akaunti hiyo. Je, hao waliompanga walishindwa kupitia hata account zake za mitandao ya kijamii kuona zinavyoweza kuathiri kesi jhii hadi anafika kutoa ushahidi? Huu uzembe mkubwa hivi unaashiria nn kuhusu umakini wa vyombo vya dola?

Lakini pia huyu bwana aliajiriwa kuwa msaidizi wa katibu wa CCM longido na hata alipohitilafiana na Sabaya alirejea huko, je huko alikoajiriwa mwajiri alimwajiri mtu aliyekinyume na itikadi ya chama ?

Ila pia uhusika wa Pole pole, Bashiru, Gambo na Dagaro unamtenganisha vipi na chama Tawala?

Kitu chakushangaza wakati anakamatwa alikutwa na dola zakutosha na tshs zakutosha ambazo anadai alitoka kuuza mbogamboga lakini mtu huyo anayetembea na zaidi ya milioni mbili mfukoni anasema alikuwa akipewa shs elfu hamsini na Mbowe.......huu ugaidi huu

Hii Ni fedhea nyingine kwa mahakama na Serikali ,tengenezeni mambo yenye logic siyo watu wa aina hii ambao wamekaririshwa.
Mambo ya ccm yatajiumbua yenyewe mara mia kuliko hata ilivyotokea kwa Hamza na polisi muda unaoongea na unazidi kuyoyoma,siasa hii waliyoitengeneza kuwa maslahi badala ya maisha ya kila siku ya wananchi itawaumbua siku wakidhulumiana wenyewe kwa wenyewe maana lengo lao hawataki siasa za ushindani.
 
We mfuasi wa kampuni ya Mbowe acha kuangaika usiku...mbowe atafungwa tu ni guide yule...mnakosea mnapo tafsiri hili swala la mbowe kisiasa...mbona ushahidi upo wazi sana kuliko hata zile kesi za Sabaya za kuunga unga ushahidi
Wewe mpumbavu tu kama wapumbavu wengine,Nyerere aliwekwa ndani,Kaunda aliwekwa ndani,Mandela alifungwa na makaburu,Hakainde akawekwa ndani na pumbavu mwenzio Lungu,lakini leo ni mashujaa pumbavu.
 
Mungu ni mwema!Mungu ni wetu sote.Mungu siyo wa CCM tu.

Nikumbushe tu MBOWE akifungwa nadhani itakufuraha kwako,kwa kuwa utakuwa umepona magonjwa yote yanayokuandama,Mbowe akifungwa tatizo la kiuchumi kwako itakuwa historian tena.Mbowe akifungwa mama yako hawezi kuuguwa tena ugonjwa wa kansa.Mbowe akifungwa kisukari na shinikizo la damu itakuwa historian kwenu.Mbowe akifungwa familia na ukoo wenu wote hautakuwa na watoto vilaza darasani.

Mungu kama aishivyo na akuhukumu yeye mwenyewe sawa sawa na matendo na maneno yako.
Amina
 
Je Yale mawasiliano anayosema alikuwa akifanya na mbowe Yana ukweli wowote.na kuna wakati anasema mbowe alimtumia hela huyo kaaya.
sile sms zinaweza kutengenezwa tu toka mtandao husika, sauti inaweza kuchongwa vile vile kama ile ya Mbowe eti kumtaka wema enzi zile...Ila Mbowe kweli Ukubwa jalala, kapitia mengi sana huyu MWAMBA.

Kwa mtu laini laini tayari kashanyoosha mikono juu mwendo wa mateka moja kwa moja Lumumba kusajiliwa... lakini ngoma IMEGOMA katu katu... huu ndiyo UANAUME.

Siyo unabinywa kidogo, kesho yake IKULU kuomba msamaha kwa machozi.
 
Back
Top Bottom