Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Ni lazima tuseme kwa uwazi na kwa msisitizo: hakuna ushahidi wa ‘siri’ uliowahi kuwepo katika muktadha halali wa kisheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni uhalisia wa legal fact, na kinyume chake ni manufactured narrative inayokiuka misingi ya Katiba ya JMT, hususan Ibara ya 13(6)(a) inayolinda haki ya kusikilizwa kwa uwazi na bila upendeleo.
Sheria ya Ushahidi [Cap. 6 R.E 2022] iko wazi kwamba ushahidi lazima uwe wazi kwa pande zote (disclosure principle), isipokuwa katika mazingira mahsusi na yenye msingi wa kisheria ulio bayana. Kutumia hoja za "shahidi wa siri" bila legal threshold ni kitendo cha psychological intimidation na abuse of due process, jambo linaloathiri mental fairness ya mlengwa na kuua credibility ya mfumo wa haki.
Kwa mtazamo wa jurisprudence na psychology of justice, kuhalalisha shahidi wa siri pasipo ushahidi wa msingi ni sawa na kuhalalisha hofu kama kanuni ya utawala. Huu ni uvunjifu wa rule of law, ni tishio kwa haki za binadamu, na ni doa kwa heshima ya Mahakama na vyombo vya dola. Taifa lenye misingi ya sheria halikubali upuuzi wa namna hii.