Shairi: Aikael Mbowe, Freeman Mwamba wa Tanzania

Naona Mbowe kawafumbua macho wote waliokuwa na mashaka nae, wengine tunamfahamu siku nyingi sana.

Huyo ndie Mbowe; Hatishwi, Hababaishwi, Haogopi, Anajiamini, Anaamua.

Ndio maana wale wajumbe wa Mkutano Mkuu huwa hawachoki kumpa kura zao zote kila wanapoliona jina lake kama mmoja wa wagombea Uenyekiti.
 
Bahati mbaya sana wakati watu wengi wa kishangilia ushindi wa Mbowe hili sakata la Halima Mdee na wenzake sijaona hata Mwanachadema mmoja ambaye ametoa uchambuzi wa maumivu kwa Chama tunayo pitia na yatakayo fuata baada ya uamuzi huu.

Kumbuka hii ni Phase III "the art of war in political contest".
Sasa hivi wametuacha na sehemu ya tatu.

' katika kipigo hicho hakikisha unawaachia makovu makubwa ambayo wakitaka kuyatibu haraka makovu hayo yatawauwa - kwa sababu mara zote yatarudi na kuendelea kuwa vidonda vibichi'.

Phase IV : Savage attach which leads to death of dishonour with the end results to eliminating organically, all influencing factors and contacts.

Na hii ina section 4 ndogo ndogo.

Sisi wengine tunajitahidi kuangalia scripts na vyombo vinavyo chezwa.
 
Hasira za nini ndugu MATAGA? Au na wewe ulikuwa unataka kuwa Covid-19?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini hatakuwa na heshima
 
Damage control + risk management ndo alichofanya Mbowe. Ngoja vumbi litulie then mtaona gia vinavyobadiliswa angani ukiona hukumu imetoka kukawa na option ya kulipa fine kwa mtu mwenye uwezo wa kifedha jua kuwa huyo mtu hatokwenda jela mtakuwa nae mtaani soon

Kama wasaliti wanapewa option ya kuandika barua ya kuomba msamaha hapo Mbowe kafunga mlango then kafungua dirisha alafu kwa mazuzu wataona covid 19 wamekomolewa lakini wamefunguliwa mlango wa emergency door warudi ndani hawa tayari kisheria ni wabunge hakuna hatua yeyote ya Chadema wanaweza kutengua ubunge wao coz wameshakula kiapo sehemu pekee ni kuwafutia uanachama sasa kama kuna option ya kuandika barua ya kuomba msamaha tena warudishiwe uanachama kuna nini tena???
 
Yajayo yanafurahisha huko mbele mengi yatajitokeza
 
Siasa za matukio, aaaaaah! CCM wanataka Chadema wagombane wenyewe kwa wenyewe ili wawatoe kwenye njia kuu. Hekima na busara inatakiwa ili kuweza kuvuka katika mipango michafu dhidi ya wapinzani wenye nguvu. Figisu za CCM kwa CUF zilimfanya Maalim kukiacha chama, sasa wanataka kukiua Chadema, kuweni waangalifu msije mkaingia mtegeno.
 
Who cares hata wawe wabunge hadi 2050, what matters most ni kuwa sio wanachama wa Chadema na hawatatumia jina la Chadema bungeni na chochote watakachofanya bungeni Chadema haitakuwa answerable.
Jengeni chama upya. Acheni kulia lia. Kila baada ya miaka kadhaaa pale mnapodhani mnakaribia, atatokeza 'msaliti' na mtaanza upya. Trend iko hivyo...
 
Boya wewe
 
Hivi CCM wasaliti wameisha.
Haujaisha na hautoisha ila Usaliti sisiemu na usaliti chadema ni vitu viwili tofauti. Hivi ni vyama viwili mbingu na ardhi, sisiemu ndio washika mpini wa kila kifaa cha kukatia.
 
Hili uliloandika hapa limesababishwa na masalia wa ule upuuzi uliofanywa na wale Covid-19.

Naamini kuna viongozi wa chama walikuwa wanaujua ule mchezo, ambapo kile kikao cha jana hakikuwatafuta kiwajue ni wakina nani na washughulikiwe, matokeo yake hao viongozi wahuni ndio waliokuja na hilo wazo la kuandika barua ya kuomba msamaha.

Chadema wawe makini kwenye hili, kama wale Covid jana waligoma kuitikia wito wa kwenda kuhojiwa, wameonesha wana viburi, sasa dawa yao ndio ile kuwafukuza, hakuna tena kuwakumbuka, wacha maisha yaendelee.
 
Yani mtu anafurahia na kumpongeza Mbowe wala hafikirii zaidi ya hapo,hivi ikiwa hadi Mdee leo hii naye anaonekana msaliti na kwamba kavuta mpunga mnono na ccm, hivi ni nani aliyebaki huko upinzani ambaye tutasema ni wa kumuamini na hanunuliki ikiwa hata Mdee kafika dau? maana kabla ya haya maamuzi watu hawakuwa na imani na hata huyo Mbowe mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…