Shaka aagiza DCs & DEDs wote wahakikishe mkandarasi analipa madeni yote kwa watoa huduma kabla ya kumtumbua

Hili jambo halipo Kwa hao Ma DED na Ma DC pekee hata Kwa wakandarasi wengine wanaopewa Kazi na taasisi zingine kama TanRoads na Tarura nk hawasimamii maslahi ya wafanyakazi wa hizo kampuni kwa sababu wanapewa vihela na wakandarasi..

Hii tabia ya kuzurumu watu maskini wasio na pa kusemea ikomeshwe mara moja maana na waliopewa dhamana kusimamia hawafany.Pia.kuna hadi Wizara ya Kazi na Ajira na ofisi za kazi kila mkoa lakini hakuna wanachofanya.
 
Huyu Shaka sasa hana akili.
Aambiwe mambo ya haki yanapatikana mahakamani tu.
 
Hizi ni kampuni za wanaCCM
 
Wewe jamaa huwa unahoja Sana aise
 
Shaka piga kazi tujenge chama chetu,
 
Shaka huenda akaja kuwa kiongozi Wa mfano sana katika Taifa hili
 
CCM hii ya Shaka inastahili pongezi,Hawa wakandarasi hasa wa kigeni ni kama miungu watu, wanaweza wakamfanya chochote raia na hakuna hatua inachukuliwa
Hakika
 
Sahihi kabisa Mkuu wetu
 
Huyu mjomba ni jembe kwelikweli
 
Sahihi kabisa
 
shaka aagize pia serikali iwe inawalipa wakandarasi wa ndani kwa wakati na pia wasiwe wanadhurimiwa stahiki zao baada ya kukamilisha kazi maana wengine huishia kufirisika na kufa kwenye hii miradi ya serikali.
 
Wazo zuri sana
 
Shaka ameshaanza kupita level za uenezi anafaa kua waziri kabisa yaani polepole hajafikia rekodi za shaka hata kidogo
 
Hakika tusaidiwe, asante Shaka
 
CCM hii ya Shaka inastahili pongezi,Hawa wakandarasi hasa wa kigeni ni kama miungu watu, wanaweza wakamfanya chochote raia na hakuna hatua inachukuliwa
Uko sahihi kwa 100%✔️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…