TaiPei
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 572
- 608
Nini kifanyike?Hili jambo halipo Kwa hao Ma DED na Ma DC pekee hata Kwa wakandarasi wengine wanaopewa Kazi na taasisi zingine kama TanRoads na Tarura nk hawasimamii maslahi ya wafanyakazi wa hizo kampuni kwa sababu wanapewa vihela na wakandarasi..
Hii tabia ya kuzurumu watu maskini wasio na pa kusemea ikomeshwe mara moja maana na waliopewa dhamana kusimamia hawafany.Pia.kuna hadi Wizara ya Kazi na Ajira na ofisi za kazi kila mkoa lakini hakuna wanachofanya.