TrioNeTwork
JF-Expert Member
- Aug 7, 2022
- 444
- 382
Fanyeni siasa acheni maneno, Kazi yenu kulalamika kila kukicha mmeibiwa kura,Matapeli na majizi ya kura katika ubora wenu.
Nadhani viongozi waneliona hiliBora veta changombe au mafundi gereji temeke wapewe huo mradi!
Huu mradi ni kichefuchefu kwani hao DIT bei ghali na warasimu sana wkt ni kitu simple tu hata mafundi wa mwembe yangu wangefanya vizuri mara mia kuliko hao DIT
DIT waondolewe hiyo monopoly power
Serikali iko na nia nzuri ila inawatumia DIT watu wa ovyo
Nikisemateknolojia tunamanisha mfumo mzima wa mabadiliko haya ya kidunia na hapa nazungmzia TEHAMA, leo tumepata fursa hii kuona namna ambavyo wenzetu wa DIT wanatumia utaalamu huu kubadilisha miundombinu hii ya magari kutoka kwenye mafuta kwenda kwenye gesi.
TEHAMA maana yake ni nini?TEHAMA na mfumo wa gesi ya magari wapi na wapi!!
Itakuwa Shaka anaamini kila mabafiliko ya teknolojia yanahusiana na TEHAMA
Kwenye hili 2025 nampa kura yangu Rais SamiaCCM YAPONGEZA JITIHADA ZA RAIS SAMIA KUIWEZESHA DIT
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuiwezesha Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) kutekeleza mradi wa ujenzi wa vituo vya umahiri ambapo zaidi ya Sh. bilioni 100 zimewekwa na Serikali.
Akizungumza baada ya kufanya ziara fupi DIT, Shaka amesema wamekuwa wakienda maeneo mbalimbali kukagua na kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020/2025 katika mashirika na taasisi ambazo zimepewa dhamana na Serikali.
“Kumekuwa na jitihada kubwa zinazofanywa na Chama Cha Mapinduzi kupitia Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia kwenye uwekezaji wa fedha nyingi za maendeleo maeneo mbalimbali. Moja ya eneo ambalo pengine hatujafika kuona namna ambavyo fedha zimewekwa na utekelezaji unaendelea ni eneo hili lililobeba teknolojia.
“Nikisema teknolojia tunamanisha mfumo mzima wa mabadiliko haya ya kidunia na hapa nazungmzia TEHAMA, leo tumepata fursa hii kuona namna ambavyo wenzetu wa DIT wanatumia utaalamu huu kubadilisha miundombinu hii ya magari kutoka kwenye mafuta kwenda kwenye gesi.
Kwa upande wake Mkuu wa Taasisi ya DIT Preksedis Ndomba alisema wanaishukuru Serikali kwa kufanya uwekezaji mkubwa kwenye taasisi hiyo na kazi iliyopo mbele yao ni kuhakikisha wanatekeleza miradi ya ujenzi wa vituo vya umahiri huku akitumia nafasi hiyo kuelezea kwenye ufungaji wa mifumo ya kutumia gesi kwenye magari wameendelea na sasa wameshafunga kwenye magari 1000 na miongoni mwao yamo magari ya Serikali.
== ==
Soma pia...
DIT INATEKELEZA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM KWA VITENDO IUNGWE MKONO -SHAKA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema kazi nzuri inayofanywa na Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) kubadilisha mfumo wa magari kutoka kutumia mafuta kwenda katika matumizi ya gesi, ni kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa vitendo.
Amesema hatua hiyo itachichea matumizi ya teknolojia na kwenda sawa ma mkakati wa kutumia rasilimalinzilizopo nchini kujikwamua kiuchumi.
Shaka amesema hayo ndiyo maelekezo ya Chama Cha Mapinduzi, hivyo amepongeza Rais Samia Suluhu Hassan a ambaye ametoa zaidi ya sh. Bilioni 100 kwa ajili kuendeleza vituo vya umahiri ambavyo ni muhimu kwa kuleta mabadiliko ya kiuchumi.
Fanyeni siasa acheni maneno, Kazi yenu kulalamika kila kukicha mmeibiwa kura,
Wewe ni mlamba mata..ko ya wakubwa, kusifia Sofia tuPongezi kwa serikali yetu kwa kuhakikisha kuwa haibaki nyuma katika maendeleo ya teknolojia, kwa kuwa Jambo Hilo likifanikiwa litaleta faida kubwa kwa nchi kwa kuwa gesi tunayo hapa nchini na pia matumizi yake Ni salama hasa katika kipindi hiki ambacho Dunia inakimbia kuondokana na matumizi ya mafuta.
Pili nampongeza sana Ndugu Shaka Hamidu Shaka kwa namna ambavyo amekuwa mfuatiliaji mzuri wa utekelezaji wa ilani ya CCM, lakini pia amekuwa akifuatilia kuhakikisha kuwa kazi hazikwami kwa sababu yoyote Ile.
Namuona Ndugu Shaka akifika mbali Sana kiuongozi katika nchi yetu na kuja kuwa msaada mkubwa Sana maana Anayo maono makubwa sana.
TEHAMA maana yake ni nini?
Kwa mujibu wa Wikipedia
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kama ilivyoainiwa na Shirikisho la Teknolojia ya Habari ya Marekani (ITAA), ni "utafiti, urasimu, uendeleshaji, utekelezaji, usaidizi au usimamizi wa mifumo ya habari, hasa ala za programu na vifaa vya kompyuta.
Maana nyingine iliyo rasmi
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), hususani kompyuta na vitumi vyake.
TEHAMA (ICT) inahusiana na upashaji habari kwa njia ya mifumo ya kompyuta, hivyo huwezi husianisha na teknolojia nyinginezo kama hizo za Mechanical engineering au CNG as fuel
Too narrowKwa mujibu wa Wikipedia
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kama ilivyoainiwa na Shirikisho la Teknolojia ya Habari ya Marekani (ITAA), ni "utafiti, urasimu, uendeleshaji, utekelezaji, usaidizi au usimamizi wa mifumo ya habari, hasa ala za programu na vifaa vya kompyuta.
Maana nyingine iliyo rasmi
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), hususani kompyuta na vitumi vyake.
TEHAMA (ICT) inahusiana na upashaji habari kwa njia ya mifumo ya kompyuta, hivyo huwezi husianisha na teknolojia nyinginezo kama hizo za Mechanical engineering au CNG as fuel
Tanzania elimu ni shida SanaToo narrow
Urongo kabisa huu, fanyeni tuoneTufanye siasa wakati tukifanya mkiona nyomi wivu unawapata na kuanza kutubambikia kesi? Nyie ndio mjifunze kufanya siasa za ushawishi sio mabavu.
Urongo kabisa huu, fanyeni tuone
mmefanya wapi mkazuiwa mzee?Waambie vyombo vya dola waache kuagizwa na viongozi wa CCM kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani, wakikukubalia uje utuambie tuanze.
Kazi yako ni kubwa ulistahili kuwa HQ kama utakuwa mchagaHajui hata nafananaje, na sidhani hata kama anataka kunijua, ila mimi ndio namfahamu. Kwani vipi ndugu?
Kazi yako ni kubwa ulistahili kuwa HQ kama utakuwa mchaga