SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefika nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Mstaafu, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee John Samwel Malecela Sea View Upanga Dar es Salaam na kutoa pole kwa familia kufuatia kifo cha Dkt Mwele Malecela aliyefariki dunia Alhamis 10 Februari, 2022 Geneva, Uswisi akipatiwa matibabu.
Dkt Mwele Malecela ni mtoto wa Mzee John Samwel Malecela alikuwa Mkurugenzi wa Magonjwa yasiyopewa Kipaumbele katika Shirika la Afya Duniani (WHO). Mwaka 2015 Dkt Mwele Malecela alikuwa kati ya watia nia wa Urais ndani ya CCM.
Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe. Apumzike kwa amani.