SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Acheni utani wakufarijiana, kama ni wale wafuasi mazuzu ni haki yenu kupata zawadi, narejea tu takwimu zilizowahi kuwepo.Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya kijamii kati ya vyama vitano vya siasa vinavyotumia mitandao miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa nchini vinavyoonekana kuwa vinara wa kutumia kurasa za mitandao ya kijamii.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jumatano 27 Oktoba 2021.View attachment 1988489View attachment 1988491View attachment 1988490
Ndio "Tunzo". Ingekuwa kwenye soka tungesema CCM inaongoza kwa " Ball Position "! Ahahahahahahaha!!!Tunzo?
Yeah CCM CHAMA,Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya kijamii kati ya vyama vitano vya siasa vinavyotumia mitandao miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa nchini vinavyoonekana kuwa vinara wa kutumia kurasa za mitandao ya kijamii.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jumatano 27 Oktoba 2021.View attachment 1988489View attachment 1988491View attachment 1988490
Wizi mtupu! Misukule na mitandao, wapi na wapi!!