Shaka atamba CCM kuongoza kwa wingi wa wafuasi mitandaoni

Kwahiyo bavicha pamoja na kuwa na ID mbili mbili au tatu tatu lkn bado wameangukia pua! Kweli chama chao kimeshapoteza mvuto mtaani na mitandaoni.
 
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya kijamii kati ya vyama vitano vya siasa vinavyotumia mitandao miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa nchini vinavyoonekana kuwa vinara wa kutumia kurasa za mitandao ya kijamii.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jumatano 27 Oktoba 2021.

#ChamaImara
#KaziIendelee

IMG-20211027-WA0024.jpg

IMG-20211027-WA0022.jpg

IMG-20211027-WA0023.jpg
 
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya kijamii kati ya vyama vitano vya siasa vinavyotumia mitandao miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa nchini vinavyoonekana kuwa vinara wa kutumia kurasa za mitandao ya kijamii.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jumatano 27 Oktoba 2021.

#ChamaImara
#KaziIendeleeView attachment 1988493
Tuambieni mtoaji wa tozo ni nani?isije kuwa kijani wenyewe, mbeleko zao au washirika wao.
 
Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya kijamii kati ya vyama vitano vya siasa vinavyotumia mitandao miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa nchini vinavyoonekana kuwa vinara wa kutumia kurasa za mitandao ya kijamii.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jumatano 27 Oktoba 2021.View attachment 1988489View attachment 1988491View attachment 1988490
Kwahyiyo Mazuzu mnaongoza kuwa wengi mitandaoni sio, bathi thawaa Maana hata utafiti wa kisayansi wa shirika la Twaweza ulibaini kuwa wanachama waengi wa ccm ni wajinga.
 
CCM kuongoza kuwa na wafuasi wajinga wengi mitandaoni kwa mujibu wa utafiti wa kisayansi wa shirika huru la Twaweza Kuna maana gani kwa watu wenye Akili timamu? Ni mazuzu hayo kujazana sehemu Fulani tuu.
 
Back
Top Bottom