SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Unaonaeh!!!Ila ni mzuri jamani acha aliwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonaeh!!!Ila ni mzuri jamani acha aliwe
Ni me lakini hayo ndiyo maisha aliyoyachagua yeye mwenyeweHivi jamaa huwa ni me au?
Kwahiyo bavicha pamoja na kuwa na ID mbili mbili au tatu tatu lkn bado wameangukia pua! Kweli chama chao kimeshapoteza mvuto mtaani na mitandaoni.
Ana sura ya kidemuKwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya kijamii kati ya vyama vitano vya siasa vinavyotumia mitandao miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa nchini vinavyoonekana kuwa vinara wa kutumia kurasa za mitandao ya kijamii.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jumatano 27 Oktoba 2021.View attachment 1988489View attachment 1988491View attachment 1988490
Kinabmazuzu wengi ila mashoga wapo ufipani, hiyo ndo tofautiBila shaka kina mazuzu wengi mitandaoni!!
Wewe unaamini huo utopolo ?Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya kijamii kati ya vyama vitano vya siasa vinavyotumia mitandao miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa nchini vinavyoonekana kuwa vinara wa kutumia kurasa za mitandao ya kijamii.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jumatano 27 Oktoba 2021.View attachment 1988489View attachment 1988491View attachment 1988490
Hongera sana Chama Cha Mapinduzi kwa usimamizi makini wa ilani ya Uchaguzi! CCM Oyee!CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI
Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya kijamii kati ya vyama vitano vya siasa vinavyotumia mitandao miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa nchini vinavyoonekana kuwa vinara wa kutumia kurasa za mitandao ya kijamii.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jumatano 27 Oktoba 2021.
#ChamaImara
#KaziIendelee
View attachment 1988639
View attachment 1988642
View attachment 1988643
Hawazidi laki.Mna subscriber wangapi?