Shaka atamba CCM kuongoza kwa wingi wa wafuasi mitandaoni

CCM CHAMA
 
KAZIIENDELEE
 
Huyu bwana anawapa shida sana CHADEMA Tz
 
Mtu na Nusu
 
2025 ni mwaka CCM watashangaa sana. Samia ni Gorbachev wa CCM.
 
Hao wafuasi ni wamagufuli
 
Mmetumia kigezo gani kujua kuwa ccm mna wapenzi wengi kwenye mitandao ya kijamii?

Wacheni hizo bange zenu na kama mkivuta subirini moshi ukate ndiyo mtoe hizo takwimu zenu za hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…