Shaka Hamdu: Dunia nzima inamkubali Mwigulu Nchemba isipokuwa CHADEMA tu, atakuwa Rais wa Benki ya Dunia

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinahimilika.

Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha amefeli, amedai Mwigulu Nchemba ni moja ya mawaziri bora wa uchumi na fedha kulingana na vyanzo kadhaa, anakubalika kila kona nchini na dunaini isipokuwa kikundi kidogo cha watu pale CHADEMA.

Amesema kuna makundi kadha wa kadha Duniani wameanza kuonesha Imani na Mwigulu Nchemba na siku za usoni huenda akawa Rais wa Benki ya Dunia.
 
K
Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinaimilika.

Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha amefeli, amedai Mwigulu Nchemba ni moja ya mawaziri bora wa uchumi na fedha kulingana na vyanzo kadhaa, anakubalika kila kona nchini na dunaini isipokuwa kikundi kidogo cha watu pale CHADEMA.

Amesema kuna makundi kadha wa kadha duniani wameanza kuonesha Imani na Mwigulu Nchemba na siku za usoni huenda akawa rais wa Benki ya Dunia.
Kwa maana hiyo unataka tuamini kuwa mnasaga sumu pamoja au🤔
 
Hahahahahaha.....
Shaka weeee
 
Safi Sana shaka wachache wachane, Uchumi wa Tanzania uko stable Katika ya Majanga na unakua harafu kuna wajinga wajinga wa chadomo na bakuli lao..

Mwendazake alikuwa sahihi kuwanyoosha na wasiruhusiwe kufanya mikutano wanataka kuleta tahaduki Nchini harafu wakimbilie kwa bwana zao huko Ulaya.
 
Tatizo kila anayelalamika mnamuita chadema
 
Sasa kama dunia nzima inamkubali anamwabia nani ambae hajui ? Si wanamkubali !!!

Yaani Statement yake haina logic kabisa..., Hili taifa linaangamizwa na vijana kama hawa badala ya kufikiria kuhusu issue wanafikra za kusifia zaidi..., yaani bora kwenye hizi kazi wangeita ni kazi ya kuwa Cheerleaders... Bure Kabisa

Safi Sana shaka wachache wachane, Uchumi wa Tanzania uko stable Katika ya Majanga na unakua harafu kuna wajinga wajinga wa chadomo na bakuli lao..

Mwendazake alikuwa sahihi kuwanyoosha na wasiruhusiwe kufanya mikutano wanataka kuleta tahaduki Nchini harafu wakimbilie kwa bwana zao huko Ulaya.

Tangu mmewakataza kufanya mikutano mmefanikiwa na Nini?. Mnawatoza tozo Wanachi kwenye Mambo ambayo wameshalipa Kodi.
 
255767529388_status_f20245e2f95a494098d484f4e8630084.jpg
 
Back
Top Bottom