..Shaka amesema UONGO kwa kudhamiria au kutokujua.
..Raisi wa Benki ya Dunia huwa ni raia wa MAREKANI.
..Marekani ndio yenye hisa nyingi ktk benki hiyo hivyo wamepewa nafasi ya kuteua raisi wa benki hiyo.
..Dr.Mwigulu sio raia wa Marekani, sasa atateuliwa vipi kuwa Raisi wa benki ya dunia? Shaka alitakiwa aombwe ufafanuzi wa suala hilo.
..inashangaza sana kwamba mtu mkubwa ktk chama kikongwe na tawala hapa Tz anashindwa kuwa na taarifa ndogo kama hiyo.
..nchi yetu ina-deal na Benki ya Dunia kila uchao, tunapokea mabilioni ya fedha toka benki hiyo, inawezekana vipi Mwenezi wa chama tawala asiwe na taarifa sahihi za taasisi hiyo?
..Nashauri Shaka adhibitiwe ili asiendelee kupotosha wananchi.