Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Angeulizia kwanza Rais wa Benki ya Dunia anapatikana vipi na anatoka wapi. Mwigulu hana sifa hizo labda abadilishe uraia.Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinaimilika.
Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha amefeli, amedai Mwigulu Nchemba ni moja ya mawaziri bora wa uchumi na fedha kulingana na vyanzo kadhaa, anakubalika kila kona nchini na dunaini isipokuwa kikundi kidogo cha watu pale CHADEMA.
Amesema kuna makundi kadha wa kadha duniani wameanza kuonesha Imani na Mwigulu Nchemba na siku za usoni huenda akawa rais wa Benki ya Dunia.
Amandla....