Shaka Hamdu: Dunia nzima inamkubali Mwigulu Nchemba isipokuwa CHADEMA tu, atakuwa Rais wa Benki ya Dunia

AAchei
Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinaimilika.

Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha amefeli, amedai Mwigulu Nchemba ni moja ya mawaziri bora wa uchumi na fedha kulingana na vyanzo kadhaa, anakubalika kila kona nchini na dunaini isipokuwa kikundi kidogo cha watu pale CHADEMA.

Amesema kuna makundi kadha wa kadha duniani wameanza kuonesha Imani na Mwigulu Nchemba na siku za usoni huenda akawa rais wa Benki ya Dunia.
Acheni kutujazia post za mashoga humu, zinatubore
 
Sitaki kuamini kasema haya naomba iwe utani tu ila kama ni kweli kasema basi nchi hii tunashida kubwa tunavyodhania, nilikuwa namuunga mkono huyu Mama lakini kila siku naamini anapoteza mshabiki mmoja. Tozo zinahimilika? nani anahimili lakini na sisi wananchi tunastahili haya usije kukuta na makofi kapigiwa hapo.
 
Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinaimilika.

Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha amefeli, amedai Mwigulu Nchemba ni moja ya mawaziri bora wa uchumi na fedha kulingana na vyanzo kadhaa, anakubalika kila kona nchini na dunaini isipokuwa kikundi kidogo cha watu pale CHADEMA.

Amesema kuna makundi kadha wa kadha duniani wameanza kuonesha Imani na Mwigulu Nchemba na siku za usoni huenda akawa rais wa Benki ya Dunia.
Vyanzo gani hivyo?
ELIMU yake yenyewe ni ya kuunga-unga.
Na hata PHD yake ni ya gizani.
 
Safi Sana shaka wachache wachane, Uchumi wa Tanzania uko stable Katika ya Majanga na unakua harafu kuna wajinga wajinga wa chadomo na bakuli lao..

Mwendazake alikuwa sahihi kuwanyoosha na wasiruhusiwe kufanya mikutano wanataka kuleta tahaduki Nchini harafu wakimbilie kwa bwana zao huko Ulaya.
Wewe fala unapata faida gani?
Ukute unashindia Milo miwili au mitatu.
 
Safi Sana shaka wachache wachane, Uchumi wa Tanzania uko stable Katika ya Majanga na unakua harafu kuna wajinga wajinga wa chadomo na bakuli lao..

Mwendazake alikuwa sahihi kuwanyoosha na wasiruhusiwe kufanya mikutano wanataka kuleta tahaduki Nchini harafu wakimbilie kwa bwana zao huko Ulaya.
Mkuu kajifunze kuandika ndio uje kutoa upupu wako hapa.
 
Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinaimilika.

Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha amefeli, amedai Mwigulu Nchemba ni moja ya mawaziri bora wa uchumi na fedha kulingana na vyanzo kadhaa, anakubalika kila kona nchini na dunaini isipokuwa kikundi kidogo cha watu pale CHADEMA.

Amesema kuna makundi kadha wa kadha duniani wameanza kuonesha Imani na Mwigulu Nchemba na siku za usoni huenda akawa rais wa Benki ya Dunia.
Sasa utegemee maccm hayo hayo yalioweka tozi yaseme mwigulu hafai, cha msingi ni kususa mabenki.
Over
 
Safi Sana shaka wachache wachane, Uchumi wa Tanzania uko stable Katika ya Majanga na unakua harafu kuna wajinga wajinga wa chadomo na bakuli lao..

Mwendazake alikuwa sahihi kuwanyoosha na wasiruhusiwe kufanya mikutano wanataka kuleta tahaduki Nchini harafu wakimbilie kwa bwana zao huko Ulaya.
Harafu - Halafu
Tahaduki - Taharuki
 
Mwendawazimu ana ruhusa ya kuongea chochote anacho jisikia kuongea
 
Nguvu yote ya kutetea huu upumbavu ukute hata Bank Account huna kwahiyo you can't feel the peel ndio mana kila Uzi unadakia kutetea uhanithi

Alie kwambia maendeleo yanaletwa na TOZO ni nani kwa standard za uchumi tozo zinatumika kwa ajili ya kudhibiti mambo mabalimabli katika jamii na sio kuleta maendeleo mpuuzi wewe

Akiwa Raisi wa benki ya Afrika tu nini ya Dunia ntakunya mavi kila mita moja kutoka hapa nilipo mpaka Geneva Uswissi ... Nipo nimekaa pale [emoji117]

WEZI WAKUBWA MIXIEUSSSXZZZZZZ!!!
Lipa tozo wewe konokono WA kienyeji..

Mapovu hayakusaidii kitu,hata asipokuwa lazima unywe kama unavyokunya Saizi..

Ni hivi chuki zako Wala hazitamzuia kuwa.
 
Back
Top Bottom