MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kwa maana hiyo unataka tuamini kuwa mnasaga sumu pamoja au🤔Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinaimilika.
Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha amefeli, amedai Mwigulu Nchemba ni moja ya mawaziri bora wa uchumi na fedha kulingana na vyanzo kadhaa, anakubalika kila kona nchini na dunaini isipokuwa kikundi kidogo cha watu pale CHADEMA.
Amesema kuna makundi kadha wa kadha duniani wameanza kuonesha Imani na Mwigulu Nchemba na siku za usoni huenda akawa rais wa Benki ya Dunia.
Hahahahahaha.....Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinaimilika.
Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha amefeli, amedai Mwigulu Nchemba ni moja ya mawaziri bora wa uchumi na fedha kulingana na vyanzo kadhaa, anakubalika kila kona nchini na dunaini isipokuwa kikundi kidogo cha watu pale CHADEMA.
Amesema kuna makundi kadha wa kadha duniani wameanza kuonesha Imani na Mwigulu Nchemba na siku za usoni huenda akawa rais wa Benki ya Dunia.
Safi Sana shaka wachache wachane, Uchumi wa Tanzania uko stable Katika ya Majanga na unakua harafu kuna wajinga wajinga wa chadomo na bakuli lao..Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinaimilika.
Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha amefeli, amedai Mwigulu Nchemba ni moja ya mawaziri bora wa uchumi na fedha kulingana na vyanzo kadhaa, anakubalika kila kona nchini na dunaini isipokuwa kikundi kidogo cha watu pale CHADEMA.
Amesema kuna makundi kadha wa kadha duniani wameanza kuonesha Imani na Mwigulu Nchemba na siku za usoni huenda akawa rais wa Benki ya Dunia.
Hivi ban JF bado zipo?Najihisi kulimwa ban sasahivi....
Safi Sana shaka wachache wachane, Uchumi wa Tanzania uko stable Katika ya Majanga na unakua harafu kuna wajinga wajinga wa chadomo na bakuli lao..
Mwendazake alikuwa sahihi kuwanyoosha na wasiruhusiwe kufanya mikutano wanataka kuleta tahaduki Nchini harafu wakimbilie kwa bwana zao huko Ulaya.
Naamini Mwigulu hana uwezo wa kuwa CEO Wa NMB Wala crdb, Benki ya Dunia wapi na wapi?Think tank wa uvccm huyo
Safi Sana shaka wachache wachane, Uchumi wa Tanzania uko stable Katika ya Majanga na unakua harafu kuna wajinga wajinga wa chadomo na bakuli lao..
Mwendazake alikuwa sahihi kuwanyoosha na wasiruhusiwe kufanya mikutano wanataka kuleta tahaduki Nchini harafu wakimbilie kwa bwana zao huko Ulaya.
Ndiyo Mkuu ila hiyo signature yako inatosha aiseeeHivi ban JF bado zipo?
Mengi sanaTangu mmewakataza kufanya mikutano mmefanikiwa na Nini?. Mnawatoza tozo Wanachi kwenye Mambo ambayo wameshalipa Kodi.