Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia kwa kutembelea nchi 22 kwa awamu 25 kwa muda mfupi ndio sababu ya kuimarika huku kwa Uchumi wa Tanzania

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466

Dar es Salaam

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya kwa Taifa ikiwemo kufungua matumaini mapya, furaha na mwanga wa maendeleo kwa wananchi.

Shaka ametoa pongezi hizo leo Novemba 5,2022 wakati wa Kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania katika maendeleo ambalo limeandaliwa na Jukwaa Jamii Mpya .

“Uongozi wake umefungua matumaini mapya kwa Watanzania, furaha na mwanga wa maendeleo kwao. Lengo kuu la Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 ni kumkomboa mwananchi kutoka katika wimbi la umasikini. Katika kipindi chake cha Mwaka mmoja na miezi minane tunampogeza Rais Samia kwa kuimarisha diplomasia yetu kwa mataifa jirani na mataifa ya nje katika sekta za kiuchumi na kisiasa.

“Rais Samia amezitembelea nchi takribani 22 hadi sasa, nchi yetu imeendelea kufunguka kiuchumi kupitia biashara na nchi za nje. Takwimu za hivi karibuni zimerekodi ongezeko kubwa la mauzo ya nje kwa bidhaa na huduma za Tanzania katika nchi mbalimbali za Afrika Mashariki,” alisema.

Ameongeza takwimu zilizotolewa na Ofisi ya Takwimu ya nchini Kenya (Kenya National Bureau of Statistics) zimeonesha kukua maradufu kwa mauzo ya Tanzania katika nchi huiyo kwa takribani sh. bilioni 20.5 kwa nusu ya kwanza ya mwaka 2021/2022 kutoka sh. bilioni 10.8 kwa mwaka uliopita wa 2020/2021.

“Nitumie fursa hii pia kumpongeza Rais Samia kwa ziara yake ya China ambayo imehitimishwa Novemba 4, Novemba, 2022. Tumeshudia mikataba ya ushirikiano ikisainiwa ikiwemo ya biashara, uwekezaji, uchumi wa kidigitali, masuala ya mazingira, uchumi wa buluu na kubadilishana uzoefu katika nyanja ya sayansi na teknolojia,” amesema.

=====
 
View attachment 2407619

Attachments

  • 6AC15F75-D0A4-43E8-8AF9-80A78DC66347.jpeg
    6AC15F75-D0A4-43E8-8AF9-80A78DC66347.jpeg
    27.4 KB · Views: 6

Nonsense.
 
Karibu uchwara!!
 
Shida ya kuvaa miwani ya jua gizani sio kosa lake, watu wa aina hii ningekuwa Mungu, ningekuwa nawacharaza mijeledi wanapo nusa tu kwenye milango ya nyumba za ibada. Ila nitashangaa kama hawa wanafiki watakapo kuwa kwenye safu za mbele peponi.
 
Uchochezi unaofanywa na CHADEMA ukomeshwe maramoja
 
Hiki cheo kazi yake kubwa ni kusifia tu, anakera sana huyu Shaka
 
Ila lile swala la kusaini mikataba zaidi ya 10 kwa siku lina walakini, Ni kweli imesomwa kwa kina kwa muda stahiki?? au ni kumwaga wino tuu bila kujua baadae kitatukuta nini
 
Kuuliza sio ujinga Shaka amezaliwa mkoa gani na ana elimu gani mkuu?

Swali la pili Mama Samia amezaliwa mkoa gani?

Kwanini magufuli alimfukuza Shaka kwenye nafasi ya ukatibu wa ccm wa mkoa wa morogoro sasa kapandishwa cheo ndani ya hiyo hiyo ccm?

Wabongo wakipata majibu yake watajifunza kitu kuhusu kusaini mikataba 15 kwa siku moja tena wachina ambao hawaaminiki.

Ni nje ya mada ila kuna kitu ninataka kujifunza.
 
Nchi itaendelea kua maskini Kila siku, hakuna kiongozi hata mmoja mwenye mpango na maono ya kuitoa Tanzania kwenye uomba omba
 
View attachment 2407619

Dar es Salaam

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya kwa Taifa ikiwemo kufungua matumaini mapya, furaha na mwanga wa maendeleo kwa wananchi.

Shaka ametoa pongezi hizo leo Novemba 5,2022 wakati wa Kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania katika maendeleo ambalo limeandaliwa na Jukwaa Jamii Mpya .

“Uongozi wake umefungua matumaini mapya kwa Watanzania, furaha na mwanga wa maendeleo kwao. Lengo kuu la Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 ni kumkomboa mwananchi kutoka katika wimbi la umasikini. Katika kipindi chake cha Mwaka mmoja na miezi minane tunampogeza Rais Samia kwa kuimarisha diplomasia yetu kwa mataifa jirani na mataifa ya nje katika sekta za kiuchumi na kisiasa.

“Rais Samia amezitembelea nchi takribani 22 hadi sasa, nchi yetu imeendelea kufunguka kiuchumi kupitia biashara na nchi za nje. Takwimu za hivi karibuni zimerekodi ongezeko kubwa la mauzo ya nje kwa bidhaa na huduma za Tanzania katika nchi mbalimbali za Afrika Mashariki,” alisema.

Ameongeza takwimu zilizotolewa na Ofisi ya Takwimu ya nchini Kenya (Kenya National Bureau of Statistics) zimeonesha kukua maradufu kwa mauzo ya Tanzania katika nchi huiyo kwa takribani sh. bilioni 20.5 kwa nusu ya kwanza ya mwaka 2021/2022 kutoka sh. bilioni 10.8 kwa mwaka uliopita wa 2020/2021.

“Nitumie fursa hii pia kumpongeza Rais Samia kwa ziara yake ya China ambayo imehitimishwa Novemba 4, Novemba, 2022. Tumeshudia mikataba ya ushirikiano ikisainiwa ikiwemo ya biashara, uwekezaji, uchumi wa kidigitali, masuala ya mazingira, uchumi wa buluu na kubadilishana uzoefu katika nyanja ya sayansi na teknolojia,” amesema.

=====
Shaka yeye hana taabu kwa sababu kila siku na kila wiki akaunti yake inasoma salio jipya.
  • Hanunui mahitaji bali analetewa kila kitu home
  • Nyumba kapewa bure
  • Gari anazo na akitaka yeyote anaipata
  • Kama ana watoto anasomeshewa bure
  • Safari zake zote hatoi senti mfukoni
  • Gafi zake analipiwa kujazwa wese
  • Shamba lake analimiwa
  • Home assistances wanalipwa na hatoi senti mfukoni
  • Hela yake anaitumia kwa matumizi nje ya basic needs
  • Akitaka mkopo anapewa na analipiwa marejesho
  • Na mengine kede kede
Mtu aina hii au watu aina hiyo utakesha wakikubishia kuwa hali ya ugumu wa maisha na kukegalega kwa uchumi...

Shibe mwanamalevya sana
Shibe nyoko sana
 
Shaka yeye hana taabu kwa sababu kila wiku akaunti yake inasoma salio jipya.
  • Hanunui mahitaji bali analetewa kila kitu home
  • Nyumba kapewa bure
  • Gari anazo na akitaka yeyote anaipata
  • Kama ana watoto anasomeshewa bure
  • Safari zake zote hatoi senti mfukoni
  • Shamba lake analimiwa
  • Home assistances wanalipwa na hatoi senti mfukoni
  • Hela yake anaitumia kwa matumizi nje ya basic needs
  • Akitaka mkopo anapewa na analipiwa marejesho
  • Na mengine kede kede
Mtu aina hii au watu aina hiyo utakesha wakikubishia kuwa hali ya ugumu wa maisha na kukegalega kwa uchumi...

Shibe mwanamalevya sana
Shibe nyoko sana
 
Attachments

  • BA3CF96B-C8C4-422C-B061-CBAA9C2F7B4E.jpeg
    BA3CF96B-C8C4-422C-B061-CBAA9C2F7B4E.jpeg
    43.3 KB · Views: 4
Back
Top Bottom