Shaka Hamdu Shaka: CCM haina mpango wa kushughulika na Katiba Mpya, kipaumbele ni kujenga nchi

Shaka Hamdu Shaka: CCM haina mpango wa kushughulika na Katiba Mpya, kipaumbele ni kujenga nchi

Hawa Ccm Waache Utani
Mbona Walitaka Kumuongezea Muda Yule..
.
 
Katiba si matakwa ya mtu mmoja mmoja wala chama cha siasa. Ni matakwa ya wananchi walio wengi.
Hao wananchi walio wengi bado hawajajitambua na wala kuuona umuhimu wa katiba mpya.

Ndomaana swala la katiba mpya limeonekana kuwa ni takwa la wanasiasa au kikundi cha watu.

Kiujumla watanzania bado tupo kwenye usingizi mzito ulioambatana na mvua.
 
CCM yasema haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu, kipaumbele chake ni kujenga nchi.

- Wanasiasa waache kuitumia agenda hiyo kama turufu ya kuwahadaa wananchi.
Huyo aliyeyasema hayo amewasiliana na mwenyekiti wake? Maana asishangae kusikia mwenyekiti amepindua meza ikawa kama waleeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
 
Ujinga unaanza upya? Kama hawana nia si watulie tu, ya nini kutuvuruga akili mapema yote hii!!
 
CCM YAVUNJA UKIMYA KUHUSU KATIBA MPYA.

✓Yasema kwa sasa sio kipaumbele chake.

✓Yajielekeza katika kujenga nchi kwanza.
CCM itajikuta kuwa a political dinosaur.

Katiba mpya ni kwa ajili ya Utawala Bora na ushirikishwaji wa wananchi kidemokrasia.

Mimi ni mwana CCM, tumeona wazi wazi jinsiMagufuli alivyovunja Katiba ya Jamhuri ha Muungano na hata ya CCM yenyewe.
Lazima iwepo Kariba inayoweza kusimamia mapungufu tuliyoyaona.
 
Chadema bwana, wao wanaamin katiba mpya itawapeleka ikulu.

Pole Sana ninyi chadema, binafsi siungi hoja ya kuwa na mjadala wa katiba mpya, iliyopo idumu hata miaka elfu moja
 
Back
Top Bottom