Shaka Hamdu Shaka ni janga ndani ya CCM

Uyo aliemsimamisha Shaka kwa tuhuma za rushwa yeye ana usafi gani??! yeye mwenyewe alikuwa jizi tu la Mali za umma,,

Wasukuma msimpangie mama cha kufanya, mlitaka makonda ndio apewe iyo nafasi au, wanafiki wakubwa nyinyi
 
Alisimamishwa kupisha uchunguzi, mpaka unamuona kapewa cheo kingine maana yake hana hatia, mbona ata Lowassa alijiuzulu uwaziri mkuu kisa kashfa za ufisadi lakini mwisho wa siku ndani ya week moja akawa mgombea pendwa ndani ya chadema na mafuriko ya watu ya kutosha
 
Hapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.

Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.

Na akimaliza miti hukuja mwilini.
Hata Mimi nilishangaa sana labda kwa Shigela kidogo uwezo anao ktk hii nafasi ninaamini ndani wako wengi wenye uwezo ktk hii nafasi
 
Uyo aliemsimamisha Shaka kwa tuhuma za rushwa yeye ana usafi gani??! yeye mwenyewe alikuwa jizi tu ya Mali za umma,,
Wasukuma msimpangie mama lakufanya, mlitaka makonda ndio apewe iyo nafasi au, k.e.nge nyinyi
Cheki huyu
 
Inawezekana kujadiliana pasi na kutumia lugha chafu....na hivyo watu wastaarabu wanavyoendesha mijadala yao.......
 
Hapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.

Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.

Na akimaliza miti hukuja mwilini.
Kwa wana ccm hapo wamebugi sana ila kwa upande wa upinzani ndiyo sherehe maana adui muombee majanga
 
Rushwa na ccm ni kambale na maji
 
kama kawaida yetu, tumejaaliwa majungu na fitina.

sijui hizi tabia za kufitiniana na majungu zitakwisha ln. tabia mbaya sana hizi, nazichukia sana!

viongozi kemeeni tabia hizi
Majungu ni moja ya vipau mbele vya ccm hivyo huna haja ya kushangaa sana
 
Ccm ni kichaka cha maovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…