Shaka Hamdu Shaka ni janga ndani ya CCM

Hapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.

Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.

Na akimaliza miti hukuja mwilini.
fafanua vizuri hapo ufedhuli umekusudia nini? Ili tujuwe tunamjadili Shaka kama nani
 
Kwanini watu wakijadili mapungufu ya mtu mnaita majungu? Magu alituambia amemsimisha kazi Shaka kwa rushwa Sasa vp tena kateuliwa.
alisimamishwa na RAIS lkn pia Ameaminiwa na kupewa majukumu na RAIS. hapo mambo yapo sawa sawa.

Inaonenaka Shaka ni Tishio kwa baadhi ya watu, tumuache jamaa apige kazi, anao uwezo mkubwa. Rais kamuamini wewe ni nani?! unaye jifanya mjuaji zaidi?!

sio lazima ateuliwe unaye mtaka wewe, wala sio lazima anaye teuliwa apendwe na watu wote.
 
Uvccm vp bwasheh
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Sijui unaelewa maana ya tuhuma? acheni wivu.
 
Kwanini watu wakijadili mapungufu ya mtu mnaita majungu? Magu alituambia amemsimisha kazi Shaka kwa rushwa Sasa vp tena kateuliwa.
Kwani ameteuliwa na Magufuli?
 
Hapo mwisho una maana gani? Mbona kama umeingilia faragha yake?

Naye na tabia zake hizo hizo za "akimaliza mitini atakuja mwilini" anaongoza, ana haki
 
Mtu ambaye ametuhumiwa kwenye sakata la rushwa hasafishiki kwa urahisi......kumteua mtu huyo ni matusi na dhihaka kwa unaowaongoza kama sio unaowatawala........TANZANIA tuna safari ndefu sana.
Huo ndio ukweli wenyewe, mama kachemsha.
 

 
Tuambie na kuhusu Heri James, Polepole, Kibajaji, Msukuma nk...
Mi sioni tofauti ya hao na huyo "maShaka wao"
 
Ipo kila mahali mkuu, tukizungumzia katika vyama hata upinzani ipo tena rushwa mbaya kabisa, ngono
Je huko ccm hiyo rushwa ya ngono haiko? Kama haiko ilikuwaje covid 19 wakapitishwa na kulindwa na CCM dhidi ya CDM?
 
kama kawaida yetu, tumejaaliwa majungu na fitina.

sijui hizi tabia za kufitiniana na majungu zitakwisha ln. tabia mbaya sana hizi, nazichukia sana!

viongozi kemeeni tabia hizi
Wakemee tabia ya kula rushwa au wakemee kelele dhidi ya wala rushwa.
 
Mambo ya rushwa yanatakiwa yaishie mahakamani. Huyo jamaa alifikishwa huko na kupatikana na hatia? Huo ndio uthibitisho.
nyie teteaneni tu,lkn mke wa mfalme hata tetesi tu zinatosha kumvunjia mji.
 
Hapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.

Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.

Na akimaliza miti hukuja mwilini.
Chawa wa kiongozi wa 'Malaika'.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Utake usitake Shaka ndio Mwenezi na ataendelea kuwa mwenezi mpaka 2025.
ukitaka kumuweka wa kwako subiri hadi 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…