Shaka Hamdu Shaka: Sukuma ndani! "Mkibaini mchwa yeyote popote wa fedha za miradi ya Umma"

Hivi kwa akili ya haraka haraka kuna mtumishi yeyote wa umma atafanyia.ama.hufanyia kazi maelekezo na.matamko ya viongozi wa chama!

Huku huwa ni kujifurahisha tu na matamko ili kuelewa na kuona wanafanya kazi, viongozi hawa wanajisahaulisha kuwa enzi za chama kushika Dola ni zilipendwa, wanashindwa kuwa na fundamental approach ya kazi na majukumu yao.

Mawaziri ama chiefs wote watumishi mwisho wa siku wanafuata hierarchy ya maboss wao ktk utumishi na si kiongozi sijui wa chama. That's not realistic ila watabisha tu.

If anything happens you report na unaujua responsible to the hierarchy na sio kwa mwenezi. Furahisha genge

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Nenda kamuulize RC Mstaafu wa Shinyanga DK Sengati Chama kilimfanya nini?

Chama kikukataa siku haiishi,

Viongozi Wote wa Serikali boss wao ni chama,


Asante
 
NATAKA KUHAMIA CCM WAKUU,

mimi ni chadema kitambo ila kwa sasa kwa yanayoendelea nimeamua nihamie tu CCM,
Chama na Serikali wote wananifurahisha sana na nimeridhika naweza kuishi CCM, Naombeni kadi wakuu
Hongera Chama cha Mapinduzi
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidi

Karibuuuu
 
NATAKA KUHAMIA CCM WAKUU,

mimi ni chadema kitambo ila kwa sasa kwa yanayoendelea nimeamua nihamie tu CCM,
Chama na Serikali wote wananifurahisha sana na nimeridhika naweza kuishi CCM, Naombeni kadi wakuu
Hongera Chama cha Mapinduzi
Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…