Ze Bulldozer
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 1,070
- 568
Uzalendo ni kusimama na nchi yako wakati wote na Rais wako pale tu anapopatia,Umeulizwa swali,hujajibu, unakimbilia kuuliza swali!!??
Usininukuu tena tafadhali.
Sina muda mchafu wa kujadiliana na mtu asiyejua maana ya majadiliano.
Mtu na nusu,
wewe hona hoja be honestUmeulizwa swali,hujajibu, unakimbilia kuuliza swali!!??
Usininukuu tena tafadhali.
Sina muda mchafu wa kujadiliana na mtu asiyejua maana ya majadiliano.
Chawa kazini
Kwani wewe uliacha Uchawa kwa Mbowe?Chawa kazini
unawezaje kuwa chawa wa mfungwa wa kisiasa ?Kwani wewe uliacha Uchawa kwa Mbowe?
Acheni mahakama ifanye hakiunawezaje kuwa chawa wa mfungwa wa kisiasa ?
Haaa haaaa maneno ya maandalizi ya kupiga .CCM oyeee.Hata siku moja ma CCM, na upigaji hawajawahi kuwa mbali mbali!!hayo ni maneno tu tena , pesa hizi ndio zitapigwa kweli kweli, enzi za jitu katili watu waliweza kupiga licha ya vitisho vyote vile sumbuse sasa hivi?!!hahaaaa!!!utaniambia
OyeeeeHaaa haaaa maneno ya maandalizi ya kupiga .CCM oyeee.
Jamaa anahasira sanaUmenifurahisha japo Tanzania haliwezekani
mtu na nusuCCM ndio Chama Africa
Sio kweliHaaa haaaa maneno ya maandalizi ya kupiga .CCM oyeee.
AmenVIVA SAMIA,
VIVA MPANGO,
Shaka The greatAmen
CCM CHAMAKatibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi wote wa Kamati za Siasa kuanzia Kata, Wilaya hadi mkoa kuhakikisha hakuna senti moja ya mradi wowote wa umma|Serikali inatafunwa na aliyewaita " Mchwa " yaani majizi,
Mhe Shaka amewakumbusha Viongozi wa kamati za Siasa kuwa Chama Cha Mapinduzi ndio Chama kilichopewa ridhaa na Watanzania na ndio chenye Jukumu la kuhakikisha Wananchi wanafikiwa na huduma zote muhimu kwa wakati kwani Ilani inayotekelezwa ni Ilani ya CCM ya 2020|25,Mhe Shaka amesisitiza miradi yote ya mkopo wa IMF kwa mujibu wa Serikali itamalizika baada ya miezi tisa ( 9 ) hivyo kamati zote za Siasa zifuatilie kwa Ukaribu sana miradi hii,
Katibu huyo wa Itikadi na Uenezi Taifa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi hakitamvumilia yeyote atakayehusishwa na rushwa au Ufisidi wa fedha za miradi ya wananchi huku akiwataka kamati zote za Siasa kuzielekeza dola kuwafikisha michwa hao kwenye vyombo vya kisheria ikiwa ni baada ya kujiridhisha kuwako na ubadhilifu wa pesa za miradi yote zikiwemo pesa za mkopo wa TZS 1.3Trilioni toka IMF ambao Rais wetu ameupata kwa sababu tu ya imani ya Wahisani kwake na kila mtanzania atahusika kuulipa mkopo huo hivyo pesa hizo sio Sadaka zilindwe kwa wivu mkubwa,
fineUkweli ni upi "Rais kafanya" au "Serikali imefanya"?
Maneno haya yanamaana sawa kimantiki " Rais kafanya X " " Serikali imefanya Y " au " " Tumefanya Z " tumia lolote utakuwa sahihi tu. Kunabaadhi ya wenzetu wameishiwa hoja hasa huku mitandaoni kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakipinga kwa nguvu zote kutumika kwa sentesi " Rais X kafanya...www.jamiiforums.com
Elfu 17Mnalipwa 10,000 badala ya 7000 nini?
Hamkopwi tena!!??