Shaka Hamdu Shaka: Sukuma ndani! "Mkibaini mchwa yeyote popote wa fedha za miradi ya Umma"

Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Huyu bibie anaehamasisha ufisadi mchana kweupe tena kupitia TV ya Taifa atasukumwa ndani lini?πŸ‘‡πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘
Your browser is not able to display this video.
 
ubadhilifu wa pesa za miradi yote zikiwemo pesa za mkopo wa TZS 1.3Trilioni toka IMF ambao Rais wetu ameupata kwa sababu tu ya imani ya Wahisani kwake na kila mtanzania atahusika kuulipa mkopo huo hivyo pesa hizo sio Sadaka zilindwe kwa wivu mkubwa,
Hivi hizi fedha alikopeshwa Samia au Serikali ya Tz?
Hivi nani aliwapora hawa watu akili?
 
Shaka Hamdu Shaka moto Fire, Kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…