Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM

Nauliza hivyo kwa sababu kuuliza siyo ujinga.

Shaka, anazo tuhuma zaidi ya mamia ya uvunjaji wa sheria za Nchi hasa kuomba rushwa kosa ambalo ni bayana.

Ajabu huyo Mzanzibar kataeuliwa na mwezake katika nafasi ambayo ni wazi humuhitaji mtu aliye safi.

Ama kuna kigezo tofauti na usafi wa maadili uliomfanya Samia amteue Shaka?
 
Samia?? Hivi unaweza kumwita baba yako, mama yako au mjomba wako kwa jina lake achilia mbali huyu mkuu wa nchi. Kama una ugomvi nae au na huyo aliemteuwa ungetumia njia nzuri na ya kistaarabu kufikisha ujumbe au madai yako kwake lkn sio kwa style hii aisee. Japo heshima ni kitu cha bure lkn sometimes tujaribu kuwaheshimu viongozi na wale wanaotuzidi umri.
 
Nauliza hivyo kwa sababu kuuliza siyo ujinga.

Shaka, anazo tuhuma zaidi ya mamia ya uvunjaji wa sheria za Nchi hasa kuomba rushwa kosa ambalo ni bayana.

Ajabu huyo Mzanzibar kataeuliwa na mwezake katika nafasi ambayo ni wazi humuhitaji mtu aliye safi.

Ama kuna kigezo tofauti na usafi wa maadili uliomfanya Samia amteue Shaka?
Wamekusikia
 
Back
Top Bottom