Shaka: Kabla ya Mapinduzi Matukufu lipo tabaka lililokandamiza, kubagua na kupuuza wengine huku likishindwa kujali "UTU" na kuwapuuza walio wengi







Comrade shaka mfuatilie mtu anaitwa shehe ponda mtandaoni, anasema mapinduzi yachunguzwe, Kwa kweli anafundisha historia
Comrade shaka mfuatilie mtu anaitwa shehe ponda mtandaoni anasema mapinduzi yachunguzwe Kwa kweli anapindisha historia
 
Uongo mwingine bana, watu wachache walimpindua Waziri Mkuu Sheikh Shamte aliyechaguliwa na Kura halali za Wananchi.. Baadae wakaingizwa mkenge na Mzee wamerudi kule kule kwa mwanzo 😂😂 kuwa KOLONI 🤣🤣🤣
 
Wapemba wengi wasingependa kusikia ukweli huu. Hata mabaki ya waarabu kadhalika.
 
Wewe ni Baaliyesu
Sisi tunamsifu Yesu Kristo aliye hai Mungu mkuu
YESU SI MUNGU BALI NI MTUME WA MUNGU

- Tufunue Yohana 17 : 3

"Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."

- Tusome Yohana 5 : 30

"Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka."

- Tuangalie Yohana 7 : 16

" Basi Yesu akawajibu, akasema, Mafunzo yangu si yangu mimi, ila ni yake yeye aliyenipeleka."

- Tutupe jicho katika Yohana 8 : 40

" Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo."

- Tuteremke katika Yohana 8 : 42

"Yesu akawaambia, Kama Mungu angekuwa baba yenu, mngenipenda mimi; kwa maana nalitoka kwa Mungu, nami nimekuja; wala sikuja kwa nafsi yangu, bali yeye ndiye aliyenituma."

- Tugeukie Yohana 12 : 44

"Naye Yesu akapaza sauti, akasema, Yeye aniaminiye mimi, haniamini mimi bali yeye aliyenipeleka."

- Twendee Yohana 14 : 24

"Mtu asiyenipenda, yeye hayashiki maneno yangu; nalo neno mnalolisikia silo langu, ila ni lake Baba aliyenipeleka."

- Yohana 17 : 6 - 8

"Jina lako nimewadhihirishia watu wale ulionipa katika ulimwengu; walikuwa wako, ukanipa mimi, na neno lako wamelishika.
Sasa wamejua ya kuwa yote uliyonipa yatoka kwako.
Kwa kuwa maneno uliyonipa nimewapa wao; nao wakayapokea, wakajua hakika ya kuwa nalitoka kwako, wakasadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.

- Yohana 20 : 17

"Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu."

- Luka 18 : 18 - 19

"Tena, mtu mkubwa mmoja alimwuliza, akisema, Mwalimu mwema, nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa milele?"
 
Hakika na hii yote inasababishwa na chama tawala...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…