Shaka: Nchi tatu zinajadili ili Samia awe Rais wao

View attachment 2224499

Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani!

Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
Ni zipi hizo nchi? Mbona Tanzania tungefurahi sana kuwapa Rais wetu akamalizie muda wake kufikia 2025, halafu wamuongezee mingine mitano ambayo kikatiba ana haki ya kugombea hapa Tanzania mpaka kufikia 2030. Sisi tuchague mwingine na kuanza upya alipoachia mtangulizi wake. Hii itakuwa fursa nzuri kwetu kulinganisha tuliyojionea kwa mtangulizi na wa sasa. Hiyo itatupa dira nzuri ya kufuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…