Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Akizitaja mtaamini ?Ndio maana hajazitaja majina hizo nchi, coz anajua hakuna kitu kama hicho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akizitaja mtaamini ?Ndio maana hajazitaja majina hizo nchi, coz anajua hakuna kitu kama hicho.
Njaa mbaya sana. Yani anavyomwaga sifa mpaka mwenyewe anajua ni wongo mtupu.
Labda hiyo nchi ni Roho TuaView attachment 2224499
Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani!
Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
Piraaa oooh YaahBREAKING NEWS:
MAREKANI, CHINA NA URUSI ZINAMGOMBEA CHIFU HANGAYA AWE RAIS WAO.
Dah akili ya huyu mtu sijui comrade wangu kalaView attachment 2224499
Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani!
Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
Chief Hangaya noma sana. Itakuwa kuna steji aliruka ujanani maana sio kwa vituko hivi.Piraaa oooh Yaah
View attachment 2224499
Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani!
Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
Huyo Kayafa alikuwa Shujaa fake wa Africa.Hahahaaa!
Hata hayati JPM, Afrika nzima ilitaka awe rais wao. Waafrika buana! Kazi ipo!
[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2224499
Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani!
Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
Njaa mbaya sana. Yani anavyomwaga sifa mpaka mwenyewe anajua ni wongo mtupu.
Karibu tunaanza kuexport marais. Yajayo yanafurahisha [emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahHuyo Kayafa alikuwa Shujaa fake wa Africa.
Mlisema Africa ilimtaka shujaa piaView attachment 2224499
Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani!
Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
KuzimuYaani kuna akili nyingine sijui za wapi tu??