Shaka: Nchi tatu zinajadili ili Samia awe Rais wao

Shaka: Nchi tatu zinajadili ili Samia awe Rais wao

Hivi CCM bado inaendeleza siasa za kilaghai katika karne hii ? Hizi propaganda za kijinga utazikuta kwenye vijiwe vya watu wavivu wanaoishi kiujanja ujanja tu.
Rais wa nchi moja kwenda kutawala nchi nyingine ya kigeni haijawahi kutokea kokote kule pasipo na nasaba.... Inawezekana tu kwa Rais mstaafu kuteuliwa kuongoza mashirika ya kimataifa chini ya Umoja wa Mataifa, au makampuni binafsi.
Elimu ya Shaka kwa nafasi yake ya usemaji kwenye chama inatia shaka kama lilivyo jina lake.
 
Mama anaupiga mwingi sana.
walio mbeza na kuonyesha dharau sasa wanahara kwa uchungu na wivu.

walidhani angeshindwa lkn sasa wanashangaa jinsi anavyo fanya mambo makubwa na yenye manufaa kwa Taifa letu ambayo hapo awali hayakufanyika.

Rais Samia hakika ni Kiongozi.
 
Akizitaja mtaamini ?
Kutaja na kuamini ni vitu 2 tofauti!
Akitaja utuambie ni nani walisema na ktk vikao gani walitoa hiyo hoja!
Unajua mwana ccm akikuambia "usiku mwema" (na kama upo ndani) unatakiwa utoke nje ukaangalie kama ni usiku kweli ndio urudi kumjibu
 
Back
Top Bottom