Shaka: Nchi tatu zinajadili ili Samia awe Rais wao

Zinajadili?
Mleta mada una tatizo au [emoji30]
Shaka kama katamka vingine wewe Kwanini upotoshe au ni maana moja

Maana ya kujadili Yaani liko mezani
 
Kama ni kweli kasema hayo basi naamini ata rais haitaji watu wa namna hii, hawawezi kutumia uwezo wao kushauri zaidi ya kusifu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…